Zuchu Alivyoimba Matusi Jukwaani Zanzibari
Zuchu Alivyoimba Matusi Jukwaani Zanzibari
Follow us:
___________________________
Instagram https://www.instagram.com/OphoroTube
_______
Facebook https://www.facebook.com/OphoroMedia
________
Tiktok https://www.tiktok.com/@ophorotube
source
Reviews
0 %
Acha.kumwita.zuchi.mbwa…kwa…kasha.kuja.kwenyu..kuomba..mifupa…..plz.heshimu..mwana.wamwenzio…bambana.na.hali.ya.famiia.yako..maisha.yakikulemea..kwa..uhasidi..mwingi..ulio.ubeba..rohoni…jitie.kitanzi..watu.wale..pilau…
Lamwishoo…kila.mbuzi..hula..kwa..erefu…wa.kamba..yake….hata..vipi…cha.msingi…maisha..yaenda…haibi..chamtu…..usharp..wake…..hatumii.nguvu..kupata.riski..unjanja.na.kujiongeza.kiakili…mpunga…unaingia.benki..wewe.baki..ukivimba….jelous.never.win...kina…kipaji..kajaliwa…kujituma…❤
Ati mwengine..kasema zuchu..kifua kimekaula..mbee..na
Nyuma… …..bwana.hee…kukauka….ahaahaa…basi..kuna..wenzako…hupenda..fga.hizo..spring.chicken..kama.hujui…..habari..ndio..hizo…nyama..yakuku..wewe..ukila..yakuthuru….basi…bambana.na.ya..bata.mzinga….achia…watalamu…fata.nyama..bata…achana.na.walio.kauka.vifua…kila.mtu…na..fga.yake….mapishi..to.fauti…ila..mpunga..ni.uleulee….pishori…rice…..kuna…mchele.mwembamba……
Zuchu..miaka.mia..twakuombeya.dada.zuhura.osman..hivyo…ndio.utazidi..kudumu.daima…wivu.wao.kwako..ndio..bahati..znaongezeka.kwa..mambo.yako..
Mwingine..kasema..ati..ukimwi…utamua.zuchu..kwani..wasema.hivyo..wewe..ndio.mungu..kupangia.wenzako..mautii..hebuu…mwanzo..wewe..ushapimwa…pengne..wakalia..diposit….aacha..kutabilia..mwana.wamwenzio..mauti…hakuna..atakae..dumu..duniani..zote..niwapita.njia..achana….tabira.mbovu..kwa.wenzako..umuzma.wewee.
Ati. Hasidi..mwengine..kasema..zuchu..atupwe..kando…kama…wengine……hilooo..utangoja..saana…atupwe.kando…..plz….elewa…risiki..ya..paka..sio..ya..mbwa…kila..kiumbe..kina..riski..yake….atii..atupwe..kandoo..kama..wenzake…maanake….dada..zuchu.usiofu..ya.waja…..siwajua..nyani..haoni..kundule…yakwake..yamulemea…anapambana..namambo…yawenzake…umbeya.punguza…achana….na..dada.zuchu…pia.wewe..jaribu..riski.yako…zuchu..hooye…ndani.ndani..wasafi..fm.❤
Yule anaye. Mwamb.ia zuchu ..aolewe…
.kwani..kuolewa..ni..lazma…hebuu…pambana..na.hali.yako….achana..na.zuchu…kabsa……mwanzo…cku.hizi..ndoa..ni..hiari..ya.mtu…akipenda….ujue.hivooo….mwanzo..cku.hizi…ndoa…hamna…mitume….waliondoka…na.mambo..ya.ndoa..duniani…yalio.salia…ni..zinguano…majumbani..kila..kukijaa…mitihani..tele….dada..zuchu..usi.lazimishwe..kukimbilia..ndoa…hiari…ya..moyo..wako.dadangu.zuhura..bin..osman….kwa..ali..nado..kijijini
Rabda binaadam kakosea
Iyimbo nitam sana juya mini muna tufungiya iyi nyimbo mk aiko matusi
sie watu wa mungu ata atuelew kitu🙄
Zuchu mshenzi tu na uyo mm ako nyote washenzi watabiaa
Huyu dada so mzima hata kdg
Kwakwel napnd hii nymbo
Amelewa isee 😎😎
Mali ya 🦁
Msameheni bur❤
Zuchu waja kucheza na mganda wewe,zari kashamnaza mond,hyo sio wako
Maji hufuata mkondo ameona ni heri awatukane wote waliokuwepo hapo. Huyo ndo staa!
Jina la wimbo plz
Zuchu ako sawa pure talent
Domaa tanzania mabos wako kumi2 unataka aimbe kaswida wakati sio kaziyake
Show Kali ❤
😢😢😢Hilo choko tu hakuna msanii Apo basata iko wap sasa Kama wanailuhusu hiyo nyimbo, wanaacha iingie mtandao pia kupaform live hata hachukuliwi hatua, wao wameshakalilishwa kuwakamata wakina Ney wamitego, pamoja na Roma aise hii ndio Tozo Nia
Upuuz tu!
Uko vizuri dada
Song tamu sana😮😮