
Video ya 50 Cent alivyokataa ofa ya Diddy kumpeleka SHOPPING na kueleza mabaya yake yasambaa
Simulizi Na Sauti
0Subscribers
Video ya 50 Cent alivyokataa ofa ya Diddy kumpeleka SHOPPING na kueleza mabaya yake yasambaa
Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS – https://t.me/+uYTdRVvia5diMjE8
source
Reviews
0 %
User Score
0 ratingsRate This
Sharing
Tags
45 Related Posts
Related Posts
Omah Lay Understand #lyrics #omahlay #understand #shorts
0
reactions
0
views
“Oh You Like Foreplay?” ๐ฎโ๐จ๐ฆ
0
reactions
3
views
Watu wambea kwly mwambimba chimba sana
Ukute yy ndo alikuwa anafanyiwa ๐ nasi kuwafanyia wenzie
Watu wakutaka muziki wao ufike marekani mnaona wanavyo paka mafuta wenzenu ๐๐๐aya jikazeni pia mpakwe mafuta kisha mfunuliwe kundu ka wenzenu
Mwambino kasha pakwa mafuta na uyo dd
Fanya urudishe ile sound uliokuwa unaweka ndo ilikuwa inavutia
Diamond platnumz ๐๐๐
Mhhh dd mzee wa viazi mbatata
Napenda sns ila sipendi huyu kaka mtangazaji anavo tangaza simuelewi kabisa yani anakera mbona sky unatufanyia ivi jaman
Kumbe wamarekanii mnajua kwamba ni DHAMBI kweli afrika tuwe majin
Mimi hapa nikisema kuna watu wamepata utajiri kwa sababu ya ushetani wengina wananitukana na kusema niko na akili za kimaskini….
Mtandale yalimkuta huko
Haya maisha mazuri yana gharama sana
Nasubiri hukumu.bas
Kumbe 50 cent ni choko!!! Duh
Hatar
Tajiri namba moja duaniani kumbe utajiri alipewa na Didy aka mudidi ๐๐๐
msanii wenu bilionea aliogopa kusema walichofanya๐คฃ๐คฃ
SKU nikipata pesa nitakuwa busy na family yangu ๐bila kumsahau mungu kumtumikia
Kuna jamaa anaitwa diamond p Diddy kamleftisha group
Mzee wa chochote kitu….
Ukijilegeza tuu umepakwa mafuta..
๐๐ฎ๐๐ ๐๐๐๐๐ฒ…a k a ๐๐๐๐๐ amekua maarufu muda mreefu jambo linaloanza kuwapa khofu watu weupe…ushawishi wa watu weusi nchini Marekani wazungu wanachelea wasije kuiteka marekani ila kila jambo na wakati wake walitupeleka kwao kama watumwa na sasa bado wanatka watutumikishe kwa mafanikio yao binfsi ila wakati utafika mtu mweusi kuwa huru….walianza na ๐๐จ๐ ๐๐๐ซ๐ฅ๐๐ฒ wakaja kwa 2๐๐๐ bila kuchelewa zamu ya ๐๐ ikafika baada ya kumalizana na ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ uko S.A hawajaishia apo wakamteka ๐ ๐๐๐๐๐ baada ya kutoa ule wimbo wake unahamasisha na kuipamba AFRICA kipindi kombe la dunia linaandaliwa nchini humo…. Walipomaliza wakamalizana na ๐๐๐ Kwa njia ya madawa ya kulevya, hawajaishia apo wakaona ๐๐ข๐๐๐ฒ ni mtu wao wa karibu na wamemtumia sana kwenye maajabu yao ya laana na sasa wanaona kazi yake imekwisha lakini hofu yao ni mtu mwenye ushawishi mkubwa na anayejitambua kwaiyo wakimuachia nafasi atawageuka hivo basi ni vema wakamdhohofisha mape kwa kila namna wakaanza kumchafua kwa vishawishi wanavyopamba wao kisha watateka mali zake apo afungwe jera watakua wamemaliza malengo yao lakini huo sio mwisho wao bado wanaendelea tu. Baada ya hapo wanakuja kwa ๐๐๐ง๐ฒ๐ ๐๐๐ฌ๐ญ,50๐๐๐ง๐ญ ajiandae japo yeye anadhani fitina waliyoiunda kumchonganisaha na ๐๐ข๐๐๐ฒ katika mawazo yake anafrahia kukamatwa kwake lakini yamfaa afikrie mbali kwa sasa na ashiriki katika kupaza sauti ya kumuokoa mwenzake sio kumkandamiza. Baada ya ayo yote wanamalizia na ๐๐๐ฒ ๐. Dunia ya sanaa ktk upande wa HipHop na kampein yao katika mziki huu watakuwa wamemaliza sasa wasanii wa ๐๐ ๐๐๐๐ yabidi mjifunze kupitia haya…kwanza kabisa jihadharini sana na umaarufu usiokua na tamaduni zenu msipende sana mafanikio kuliko utu jitahid sana kutoa misaada kwa ndugu zenu waafrica kwa kuzitunza tamaduni zetu…watu weupe wanapoouna unashobokea mambo yao wanakuvuta karibu yao wanakupandisha kwa mikataba yao kisha wanakushusha kwa kashifa kibao ambazo ulifanya ukiwa nao kwa mitego yao. Kinachowaumiza hawa mastaa ni kwa sababu wazungu waliandaa mitego yao mapema na wao hawakushutuka katika ilo….IPO SIKU MTAIKUMBUKA HII COMMENT.
Old news
Mbona harmonize kafanyiwa sana shopping na diamond platinum alivyokuwa wcb wakina lavalava wanafanyiwa shopping d voice katika video zao boss anawanunulia nguo shopping au na diamond nae kama p.didy yale yale tu๐ข๐
Tuna wasiwasi na Diamond kamuacha salama kweli๐ข
Tatizo Mwana unajikaza Sana kutagaza ili kuleta mvuto wa sauti. Hebu relux bas
Jamaa Alikua Anafira wanaume na Mafuta 1000
Muulizeni Diamond Ataawambia Vizur๐
Mmmh kwa r Kelly niliona Kuna kuumizana,,,ila kwa didy ni ngumu kudhani anaonewa
Jamaa alikua mfiraji mkubwa sana
Amnyandua mke wa kaka yake Bafuni bila kujua kuna kamera ya Siri ๐
https://youtu.be/-RgC7yo5zP0?si=u65DV39qGYl5CvlZ
Wa kwanza Leo kutoka Toronto ๐๐๐
Daah๐๐