Video ya 50 Cent alivyokataa ofa ya Diddy kumpeleka SHOPPING na kueleza mabaya yake yasambaa

Spread the love


Video ya 50 Cent alivyokataa ofa ya Diddy kumpeleka SHOPPING na kueleza mabaya yake yasambaa


Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS – https://t.me/+uYTdRVvia5diMjE8

source

Reviews

0 %

User Score

0 ratings
Rate This

Sharing

Leave your comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

31 Comments

  1. 𝐏𝐮𝐟𝐟 𝐃𝐚𝐝𝐝𝐲…a k a 𝐃𝐈𝐃𝐃𝐘 amekua maarufu muda mreefu jambo linaloanza kuwapa khofu watu weupe…ushawishi wa watu weusi nchini Marekani wazungu wanachelea wasije kuiteka marekani ila kila jambo na wakati wake walitupeleka kwao kama watumwa na sasa bado wanatka watutumikishe kwa mafanikio yao binfsi ila wakati utafika mtu mweusi kuwa huru….walianza na 𝐁𝐨𝐛 𝐌𝐚𝐫𝐥𝐞𝐲 wakaja kwa 2𝐏𝐀𝐂 bila kuchelewa zamu ya 𝐌𝐉 ikafika baada ya kumalizana na 𝐋𝐔𝐂𝐊 𝐃𝐔𝐁𝐄 uko S.A hawajaishia apo wakamteka 𝐑 𝐊𝐄𝐋𝐋𝐘 baada ya kutoa ule wimbo wake unahamasisha na kuipamba AFRICA kipindi kombe la dunia linaandaliwa nchini humo…. Walipomaliza wakamalizana na 𝐃𝐌𝐗 Kwa njia ya madawa ya kulevya, hawajaishia apo wakaona 𝐃𝐢𝐝𝐝𝐲 ni mtu wao wa karibu na wamemtumia sana kwenye maajabu yao ya laana na sasa wanaona kazi yake imekwisha lakini hofu yao ni mtu mwenye ushawishi mkubwa na anayejitambua kwaiyo wakimuachia nafasi atawageuka hivo basi ni vema wakamdhohofisha mape kwa kila namna wakaanza kumchafua kwa vishawishi wanavyopamba wao kisha watateka mali zake apo afungwe jera watakua wamemaliza malengo yao lakini huo sio mwisho wao bado wanaendelea tu. Baada ya hapo wanakuja kwa 𝐊𝐚𝐧𝐲𝐞 𝐖𝐞𝐬𝐭,50𝐂𝐞𝐧𝐭 ajiandae japo yeye anadhani fitina waliyoiunda kumchonganisaha na 𝐃𝐢𝐝𝐝𝐲 katika mawazo yake anafrahia kukamatwa kwake lakini yamfaa afikrie mbali kwa sasa na ashiriki katika kupaza sauti ya kumuokoa mwenzake sio kumkandamiza. Baada ya ayo yote wanamalizia na 𝐉𝐚𝐲 𝐙. Dunia ya sanaa ktk upande wa HipHop na kampein yao katika mziki huu watakuwa wamemaliza sasa wasanii wa 𝐀𝐅𝐑𝐈𝐂𝐀 yabidi mjifunze kupitia haya…kwanza kabisa jihadharini sana na umaarufu usiokua na tamaduni zenu msipende sana mafanikio kuliko utu jitahid sana kutoa misaada kwa ndugu zenu waafrica kwa kuzitunza tamaduni zetu…watu weupe wanapoouna unashobokea mambo yao wanakuvuta karibu yao wanakupandisha kwa mikataba yao kisha wanakushusha kwa kashifa kibao ambazo ulifanya ukiwa nao kwa mitego yao. Kinachowaumiza hawa mastaa ni kwa sababu wazungu waliandaa mitego yao mapema na wao hawakushutuka katika ilo….IPO SIKU MTAIKUMBUKA HII COMMENT.

  2. Mbona harmonize kafanyiwa sana shopping na diamond platinum alivyokuwa wcb wakina lavalava wanafanyiwa shopping d voice katika video zao boss anawanunulia nguo shopping au na diamond nae kama p.didy yale yale tu😢😂