Tuko Rada, Story ya Tei noma, Hapa Kule News EP 64

Tuko Rada, Story ya Tei noma, Hapa Kule News EP 64


Hapa Kule News ni show moja ya njaro sana, aim yake ikiwa kuchambua uhondo deadly deadly zimehappen kwa news na kuziput across na design moja funny. Ndio maana hatuna aibu tukidai hapa kule news ndio mahali uhondo na story nyeti, ndio biashara yetu.

source

Leave a reply to @TheThuosUniverse Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

20 Comments