Pastor Ezekiel to remain in custody until next Tuesday

Author Avatar

Citizen TV Kenya

Joined: Mar 2024
Spread the love

Pastor Ezekiel to remain in custody until next Tuesday


Televangelist Ezekiel Odero of New Life Prayer Center will on Tuesday know whether he will be in Police custody for 30 days as requested by the Director of Public Prosecution Noordin Haji pending investigations, or released on bail. According to the Police Affidavit revealed in court, the DPP is linking Ezekiel Odero and Paul Mackenzie to…

source

Reviews

0 %

User Score

0 ratings
Rate This

Sharing

Leave your comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

22 Comments

  1. Pastor Ezekiel unaenda kuwajiliwa na utarudi kufungua kanisa yako hivi karibuni ☝️ na McKenzie atabeba mziko yake mwenyewe 👈 hiyo masaka akuzu wala shamba si yako☝️unaenda kuwajiliwa in Jesus Name 👏👏👏

  2. Serikali ambieni watu ukweli ili uwaweke huru. Kwa nini wanahabari na wateteaji haki za binadamu walikatazwa kuingia mule na hata wao ndio walio vumbua hayo manano?.kuna siri fiche hapo hawataki kuambia watu. Lakini Mungu wa mbinguni ataifichua maana anasema kilicho fichwa uvunguni atakianika juu ya paa .Mungu saidia kenya na watu wote.

  3. Mimi sija soma vile lakini niko na ufahamu wangu kidogo. Ufahamu wangu ni huu nasisitiza kuuliza nipate mtu mmoja au zaidi ambae alipoteza au aliuliwa na mtumishi Ezekiel. Hizi tuhma za kudhania mtu na huna uhakika nazo ni makosa tena makubwa. Hii kenya ni mali ya Mungu hakuna mtu anaweza kuiita yake. Isitoshe mtumishi Ezekiel hajawai miliki mtu hata mmoja yeye alikuwa anawaambia kila siku mtu akienda pale achukuwe kilicho mpeleka arudi kanisani kwao. Na hakutaka ukienda kwake uongee vibaya kwa mchungaji wako au yeyote. Lakushangaza mapaster wengi wana mpiga vita. Sababu hii itafanya washirika wengi wajitenge na makanisa. Sababu hatujui ni yupi atatumeza wazima wazima. Ninachoomba ni Mungu ajidhihirishe ili tujuwe ni Mungu yupi aliekuwa akimtumia mtumishi Ezekiel.