BURNA BOY kweli ni African Giant! Watu 80,000 wahudhuria tamasha lake London Stadium

Author Avatar

Simulizi Na Sauti

Joined: Mar 2024
Spread the love


BURNA BOY kweli ni African Giant! Watu 80,000 wahudhuria tamasha lake London Stadium


Tembelea https://sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

source

Reviews

0 %

User Score

0 ratings
Rate This

Sharing

Leave your comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

47 Comments

  1. Wale wasaniii wa zamanı wakina chid benz, A.y Mr nice wanaosema eti zamani kulikuwa hakuna mitandao ya kijamiiii kamera 🎥 na walishawahi kujaza nje ya tanzania maelfu ya watu kwenye viwanja aya wafanye tena tuone mitandao ya kijamiiii ipo kamera tuwape heshima zao

  2. Wale wasaniii wa zamanı wakina chid benz, A.y Mr nice wanaosema eti zamani kulikuwa hakuna mitandao ya kijamiiii kamera 🎥 na walishawahi kujaza nje ya tanzania maelfu ya watu kwenye viwanja aya wafanye tena tuone mitandao ya kijamiiii ipo kamera tuwape heshima zao

  3. Yaaani huyu burnaboy ni li dude li kubwa sana anampa sana stresss diamond platinum anachanganyikiwaaaaa anakuwa kama kichaaaa adi anavaaaa vitu vya ajabu anakuwa kitukooooooo burnaboy ni Moto mwingine harmonize anamheshimu kama baba yake simba ataweza kushindana na burnaboy

  4. Yaaani huyu burnaboy ni li dude li kubwa sana anampa sana stresss diamond platinum anachanganyikiwaaaaa anakuwa kama kichaaaa adi anavaaaa vitu vya ajabu anakuwa kitukooooooo burnaboy ni Moto mwingine harmonize anamheshimu kama baba yake simba ataweza kushindana na burnaboy

  5. Kumtaja kumtaja mdomo kwenye ishu kama hizi ni sawa na kumfananisha iron mike tyson na shilole,
    Eleweni nyinyi viumbe diamond ni simba hapa bongo akitoka nje ya bongo anaanza kufanya revolution ya paka na akitoka mamtoni anabadilika anakuwa panya tena kadzora kabisa wale wanaoliwa na wamakonde

  6. Tofauti ya diamond na burna boy ni language tu, diamond angezaliwa Nigeria nawaambia angekua msanii mmoja hajawai tokea duniani.

    Kiswahili ndo kinamuangusha pamoja sio mbaya sana… ila wengi walio mbele marekani na nchi zengine za ulaya wanatumia Kimombo( English)

  7. Hapana watu wengi hawaelewi ukiacha bahati na kipaji lkn kubwa Zaidi ili ukubalike kimataifa ni kuimba kw kutumia lugha za kigeni km English,,french,Spanish NK burnaboy ni muimbaji wa kawaida Tu ila Zaidi ni namna ya kuwasilisha ujumbe wa nyimbo kw lugha zao ivi km huyo mondi angelikuwa nondo zake anaziwasilisha kw lugha za ulaya ingelikuaje?ivi km anakuja kutumbuiza East Africa unadhaani wengi watamuelewa Nani?