ZUCHU Aondoka kwa DIAMOND PLATNUMZ/Kisa Hiki Hapa/ESMA atoboa SIRI nyuma ya PAZIA
ZUCHU Aondoka kwa DIAMOND PLATNUMZ/Kisa Hiki Hapa/ESMA atoboa SIRI nyuma ya PAZIA
Dada wa msanii @diamondplatnumz @_esmaplatnumz anadai kuwa Mpenzi wa Mdogo wake @officialzuchu amebeba mabegi yake na kuondoka nyumbani baada ya Diamond kumpandisha mwanamke mwingine kwenye steji kwenye show yake ya jana na kumuita jina la Ex wake ‘Sarah’.
Esama anamuomba Zuchu arudi nyumbani kwani mwanamke huyo alietajwa ni Ex tu wala sio…
source
Reviews
0 %
Zuchu ana akili za kitoto hafai kua na Diamond, hii sii kitu ya kufanya mwanamke aende kwao
Mgonjwa huyo sura kama tope kamaanapendwa siangepewa kaziya kufagiya ofisi njaatupu
Zuu achana nao ex mwenyewe kama mngonjwa mbaya
AULIZE ZARI KASEMA HAWEZI RUDIYANA NA MONDI KALISOMA GAZETI NA KALIMALIZA HAWEZI ,😂😂😂 SHIDA ZUCHU KAJIONA YEYE NI BEYONCÉ 😂😂😂😂
Watajua wenjewe bahn mpuuz nini?
Aondoke wasafi pia tumheshimu😅
Nakukubali sana kaka daimond
Atulieeee tu kama anauhudumiwa aache mapepe diamond ndoyukogo Ivo awezi kuficha mambo yake nalazima amkumbuke kwani we uwakumbukagi ma x zako ebu usimueleleze mtoto wawatu diamond
Acheni uongo
Zaidi ya yote wooooote ni warembo kumshinda inaumaa
Aondoke mshamba huyu hamfai diamond hata kidogo
Familia kwa Kiki hii SJAONAAA
WAKO KIKAZI ZAID😂😂😂😂😂
Diamond anatafuta Hela ww zuchu usilete upumbavu
Mwache aende ikibidi arudi zenji…tena aogelee afike upesi…mbona siku 90 zillisha tangu mwaka jana😂😂😂wee mondi ww…Sara ndio habari ya mujini
Zuchu she's a human being she has tried and now she is tired 😢
Kila siku anabeba mabegi, mara Yuko single, mara Diamond ni kaka yangu.. Upumbavu tu, clout chaser.
Ata mimi ningeondoka zarau zimezidi jikaze zuchu ikosiku utapata riskiyako ilo kumbatiyo walikumbatiyana na mabusu kabisa namaneno yahuyo ex wake inaonekana wanakutanaga kisirisiri pole mamy najuwa uko ulipo huna raha atamimi jana nimeumiya kwakweli
AENDE ZAKE TU.
Kwan zuchu hujazoea tuu shogaangu 😂😂