Waziri Kindiki ashikilia msimamo wa Kenya kuwatuma polisi 1,000 nchini Haiti
Waziri Kindiki ashikilia msimamo wa Kenya kuwatuma polisi 1,000 nchini Haiti
KTN NEWS LIVE
Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics,…
source
Reviews
0 %
Hii ina sherehekea wakenya wakifa huku viongozi wanafidiwa .Wanaandaa jukwa la kujipiga vifua kwa matanga ya hao askari maskini.Mareka
Manake munpelekwa kukufa sababu pesa, mbona huyo waziri haendi anaogopa kufa simple
Surelly police anayevalue life yake heri aache kazi kuliko kwenda kufa Haiti. Hata aliye sign huo mkataba amejiuzulu.
kwani ni Kenya tu inapeleka police bona hamuongei kuhusu nchi zingine
Let them go and kindiki na ruto mtatuambia nini Haiti ni kifo
Ukiamua kua police u knew this could happen..its a game of fire ..waende tu kazi yao😅
History respite it's self if Tirana killed 57 police men, What of Haiti, kanyan police are like sending a watchman to atack K, D, F camp with rungu
Greedy Ruto when he hears money he gets mad
Shida ni moja, mnatuma watoto wa hustlers by force by fire. Inafaa pia tujue kama ni makabila zote zimewakilishwa ama ni tribe moja.
Kenya yenywe haina usalama
Surely just because you are un suthourity you want ti sacrifice peoples children ???
Kindiki watume watoto wawenyewe uko haiti wakafe juu baringo na pokot na samburu kumeshindikana RiP our police kila kitu munatumia kifua wooee sisi 😢😢😢