Watu watatu wathibitishwa kufariki Githurai
Watu watatu wathibitishwa kufariki Githurai
#KTNNews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews
Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you…
source
Reviews
0 %
This is a demo advert, you can use simple text, HTML image or any Ad Service JavaScript code. If you're inserting HTML or JS code make sure editor is switched to 'Text' mode.
Sa hii n kazi gani kill us all
Wachukueni watu wote hao mkawatupe uko state house 🏠
Mbona walifungia jeshi. Aki wakenya
Hiyo duale ni halshabab.hajalu binadamu after all 3:20 sio mkenya haimuumi .poleni sana ndugu zanguni,one day things will be alright
RUTO ANAMWAGA DAMU ILI KUTOWA KUTOWA KAFALA KWA FREEMASON BILA YEYE KUJIJUWA.
Watu mia tatu
There is a lady I met at Utawala who told me over 300 were killed in githurai I asked her but it's not on social media she said she lives there and she saw dead bodies
2027 nisiskie wamama wakiruka ruka ati ruto tena, hio ujinga msilete Western.
Ujinga sana, watu more than 30 wanakufa mnasema watu watatu nkt!
One term president kama ata bahatika kumaliza,akwende kabisaa we will never miss him
Wanajeshi wana ji down grade mpana ua watu for nothing juu of airing there grivances ujinga mtupu,shame on them..
2yrs remaining hutoke tumechoka
ntv mnatetea gava ama,talk of the innocent civilians who were killed in githurai si ati polisi 10 and can not tell the over 30 youths nkt
Duale hata wewe uko Na watoto Na watoto Na wajukuu gonja Mwenyezi Mungu si athumani malipo ni hapa hapa bado Na Kesho ahera
Atu watatu mbona mauwongo mingi…c mseme tu ukweli
Wanasema ni watatu na wenye wako githurai wanasema n more than 200died
wanjinga ndio waliwalo
Aki innocent children
Duale aende Somali kwao atuachie Kenya yetu
It could be 100+ deaths.only God can save us .
Dwale needs to resign and be prosecuted.