Watu watatu wafariki huku wengine zaidi ya 300 wakijeruhiwa baada ya gesi kulipuka huko Embakasi

Author Avatar

Citizen TV Kenya

Joined: Mar 2024
Spread the love

Watu watatu wafariki huku wengine zaidi ya 300 wakijeruhiwa baada ya gesi kulipuka huko Embakasi


Watu watatu wamefariki huku wengine zaidi ya 280 wakijeruhiwa baada ya gesi kulipuka na kuwaka moto katika kituo cha kujazia gesi mtaani Kabansora eneo la Embakasi hapa jijini Nairobi. Moto huo ulioanza jana usiku uliteketeza mali ya mamioni ya pesa huku familia zilizokaribu zikiachwa bila makao.

source

Reviews

0 %

User Score

0 ratings
Rate This

Sharing

Leave your comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

32 Comments

  1. Mtu yoyote kutoka tanganyika kwa zanzibar hawezi kufanywa lolote mbona dini ya kiislam muislam anatakiwa kuwa na silaha karibu nae kwajili ya kujihami mbona hawaruhusiwi hapo zanzibar nyinyi wa zanzibar mme mezwa na tanganyika hamna kauli kumamazenu unazani kuna mzanzibari anaweza kutembea ata na jiwe hapo sasa sheria za miji na maeneo ya umma inahusika vipi na mila kutoka makokoroni acheni ujinga basi kuna makabila huko yanatembea utupu wa mnyama je???? Haonao wakiingia mjini waheshimiwe kwa vile ni milazzo acheni ujinga uliojificha na kujenga kambi katika vichwa vyenu vyakijinga kabisa sasa hapo mjini kuna sheria ambazo hukataza kutoka na silaha ya aina yoyote nikosa iweje mmasai ndo hawezi kupata malaria yakampanda akaweza kutumia hiyo silaha acheni ujinga yote haya sababu serikali na kisiwa kimemezwa na waume tanganyika ujinga mtupu

  2. You can be minding your own business then bang, a silly accident resulting to substantial loss, that's why some businesses keep of certain areas. Let's restore management structure which can bring about standard in all institutions, organisation and the way we do things