Watu kadhaa wamejeruhiwa kwenye vurumai Kisii

Author Avatar

Citizen TV Kenya

Joined: Mar 2024
Spread the love


Watu kadhaa wamejeruhiwa kwenye vurumai Kisii


Watu kadhaa wamejeruhiwa mjini Kisii kufuatia vurumai lililozuka wakati wa mkutano wa kutoa hundi za msaada wa elimu ulioandaliwa na gavana Simba Arati katika eneo la Mugirango South

source

Reviews

0 %

User Score

0 ratings
Rate This

Sharing

Leave your comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

42 Comments