Wakadinali – “NyaraNyara” (Official Music Video)

Wakadinali – “NyaraNyara” (Official Music Video)

#NyaraNyara #VictimsOfMadness #WAKADINALI #AfricanDrill #Drill #HennessyKe #NSNS #NeverStopNeverSettle

OFF OUR ALBUM…

source

32 Comments
Show all Most Helpful Highest Rating Lowest Rating Add your review
 1. Imeweza likes zangu zimwok,,😂

 2. Wanaita Dangote na mimi sijui kwa nini

 3. Nmependa album yote, however, there is room for video improvement, najua ni budget but keep pushing guys 💥💥

 4. First Wakadinali song to listen to. Daaaayuuuum🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 yoo these niggas got me feeling gangsta af

 5. Showed this to my nephew now he is my uncle

 6. Rumours has it that scar mkadinali had the courage to tell his parents that they are adopted

 7. ManADriller is a baaaaaaad mane!!!!!

 8. Keep it rong…stay true ..weuwe

 9. They never disappoint…. Gonga like kama unatambua wakadinali🔥🔥👊👊👊

 10. "Nilikuwa natumia beeper… "😂😂😂Vintage no trace🔥🔥🔥🔥

 11. Absolutely nobody: Scar ndio ule mtoto alipewa wembe akai sharpen.
  Scar: For real

 12. Hiyo verse ya Domani ni nzito sana! 🔥🔥

 13. Xxxl ndo jacket 🔥🔥🔥

 14. Kila tym I listen tu wakadinali …I get more rong

 15. We are waiting wakadinali ft wastarabu gang it will be lit💪

 16. LYRICS:

  Yoh, free hustle man
  Free hustle man
  Fvck lockdown
  (Big Beats Afriq) Afvrika!
  Wakadinali au sio

  Peng ni ayela na gang ilimnyora
  Design ya nyara nyara nyara
  Mraa tunairun bila haya
  Na gut ni kilalo ya jana

  Jokes on you mnatupima
  Liars manze hio ni nini mnafanya?
  Mavedi walipumua fire Huh!
  Exactly niliwadanganya
  Warazi walipumua fire Huh!
  Exactly niliwadanganya

  Peng ni ayela na gang ilimnyora
  Design ya nyara nyara nyara
  Mavedi walipumua fire Huh!
  Exactly niliwadanganya
  Warazi walipumua fire Huh!
  Exactly niliwadanganya

  9 Months unatry kudeliver
  Hatukuonei huruma ukuwe unless una mimba
  Ngwai East imepeleka vijana wengi Inda
  It’s high time Kenya ikuwe legal
  Ni heri uangushe kinde CBD njoka wako rada
  Ukikojoa watakushika

  Mr atleast try jo kubehave
  Staki damu imwagikie my lean and T-Shirt
  Naskia mnanitafuta huh, mpaka mnanifuata kwa duka
  Stepper mi hukanyaga kubwa
  Ukikuja sana perhaps utakulwa
  Unafaa kujua nani ndo kushuta
  Before kunukisha hii mtaa unaweza chuta

  Mbepa si hufungia gunga
  Hakuna ni Sunday mzae jo amefunga
  Mi huflip ka beats za Afvrika
  Niliwaachia Hiphop siku hizi man a driller

  Mabiz za mpini si hupiga
  Kwani si ata judge alipardon killer
  Splash splash tukifika
  Itoka inaspark ma opp wanaitika

  Trap trap to saa tisa ni mboka
  Nilikuwa hapo hio jogoo ikiwika
  Nimeona Subri ikinipita
  I think kwa hio rounda scene ilipigwa

  Bruce iliskika street iliwika
  Black alikam akanyambisa
  Naskia mi mchafu spitter
  Ni ka mi huandika hizo ngoma kwa pipa
  Kudus informer though hawakunipata
  Nilikuwa na operate na Bipa

  Peng ni ayela na gang ilimnyora
  Design ya nyara nyara nyara
  Mraa tunairun bila haya
  Na gut ni kilalo ya jana

  Jokes on you mnatupima
  Liars manze hio ni nini mnafanya?
  Mavedi walipumua fire Huh!
  Exactly niliwadanganya
  Warazi walipumua fire Huh!
  Exactly niliwadanganya

  Peng ni ayela na gang ilimnyora
  Design ya nyara nyara nyara
  Mavedi walipumua fire Huh!
  Exactly niliwadanganya
  Warazi walipumua fire Huh!
  Exactly niliwadanganya

  Kuna venye Covid naitii kitu moja
  Daily coro 19 nilinona
  Cyber ronging in different location
  Wolan tunaiduingi normal

  Fake kings nazidi kuwawinda
  Ka ulidhani hio ilikuwa mechi gwan
  Hii ndo dimba
  Peng ni ayela msupuu
  Mans na Domani naishi life bila filters

  Sina hadi maarifa
  Mi nilidhani shore nilikuwa nabonga naye Insta ni Risper
  Nikihama mi huenda na kamba za nguo
  I wish ningekuwa KPLC
  Arif alikuwa MCA, sai ni MP anarepingi Westy

  Sikumeet huyo msichana no no
  Nilidate hio vigina
  Ndoch una manzi mdechu
  Ushaimwanika kwa mneti hapana

  I was high in school man a driller
  Tangu enzi za Insyder
  Nina ndoto ya maziwa mrefu
  Inaweza lipa debts zote za Mchina

  Watch what you are talking kwa pot
  Timeline yako ina TikTok
  Nina maboyz Kise huko Ngong
  Walipanua riko sai wanamanufacture Richot

  Peng ni ayela na gang ilimnyora
  Design ya nyara nyara nyara
  Mraa tunairun bila haya
  Na gut ni kilalo ya jana

  Jokes on you mnatupima
  Liars manze hio ni nini mnafanya?
  Mavedi walipumua fire Huh!
  Exactly niliwadanganya
  Warazi walipumua fire Huh!
  Exactly niliwadanganya

  Peng ni ayela na gang ilimnyora
  Design ya nyara nyara nyara
  Mavedi walipumua fire Huh!
  Exactly niliwadanganya
  Warazi walipumua fire Huh!
  Exactly niliwadanganya

  For Real! Heri nitokee siwezi kukutusi Twitter mimi
  OCS OCS alisema tupotee na tusiwahi rudi mjini
  Wananiita Dangote na mi sijui kwanini
  Nyong’inyo zangu zinatee sivui viatu nikiwa kwako mimi

  Hii tenje ipotee nishakuwa Hoodini
  Sanse atokee hii ngwai haizimwi
  Mi sinanga Fee bado najiamini
  When you see me better hashtag easy

  Deep down they wanna be me
  Hii mtaa chini ya maji niko na dini
  Rhyme Gym Rong Rende ndani ya building
  Combine kila rapper Kenya ndio unimake mimi

  Wakiniona ni rizla na ganja
  Nikishawachoma girimba narambwa
  Mama mboga anachezaga na rada
  Alinicall akanishow safisha unasakwa

  Ju nina niggaz waliiba na ALBAB
  Pandishaga middle finger kwa media na cover
  Vijana walikosa riba na rada
  Ilikuwaga ni mchana wakikimbiza mambang’a

  Sio easy getting this shilling
  Me na bro kitchen we be distilling
  Yeah I told you if you see me, you see me
  I was not there but they gave you the same feeling

  Undercover Google u search
  Undercover msupa acheze bubu tukif*ck
  Ka anakanja crew inakam
  Wakiletaga ujanja crew inakam kuburn

 17. hii wimbo itashika entaa waah

 18. Ill tell my grand kids these were the three wise men..

 19. 2021 ITABIDI KENYA MME RIOT NI LEGALIWE 🐗🐫

 20. design ya nyaranyaranyara

 21. haa .. design ya nyama nyama nyama

 22. asked my son what he wanted to be and he said….wananiita dangotee na misjui nkwa nini ….scar

 23. Beat check
  Bars check
  Flow check
  Kenyan clothing brand represented check
  100%hit

 24. The one who is disliking this song need to be nyarwad

Leave a reply

Roots Afrikiko
Logo
Enable registration in settings - general
Compare items
 • Total (0)
Compare
0
Shopping cart