Wafanyibiashara wa miraa Mombasa wapinga hatua ya serikali ya Mombasa kuwaongezea ada

Author Avatar

Citizen TV Kenya

Joined: Mar 2024
Spread the love


Wafanyibiashara wa miraa Mombasa wapinga hatua ya serikali ya Mombasa kuwaongezea ada


Ada Ya Juu Ya Miraa Mombasa
Wafanyibiashara Wa Miraa Mombasa Wateta
Serikali Ya Kaunti Imeongeza Kodi Ya Biashara Hiyo

source

Reviews

0 %

User Score

0 ratings
Rate This

Sharing

Leave your comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

33 Comments

  1. Governor you are true kenyan citizen a parent what you have done god will grant you more years in this country called kenya for burning mongoka we are going to lose generation this is a fantastic move brav bravo for caring generation to come in our beautiful county

  2. I see no reason the mogokaa and miraa sealer to complain because, kenya has 47 county and only 2 county, wamekataza kusiuzwa hizo bidhaa, so my simply solution is go and sale to the other county's.

  3. So, this is why the governor banned khat. It is a feud whose origin has nothing to do with khat usage. Coast governor should set things straight and stop hiding behind khat.

  4. Waongezee bei governor .wawache hawa wajinga wasioweza kuishi bila miraa .wauziwe kilo 10 k .waamue wawache ama waendelee kula washindwe kulipa nyumba walale barabarani .ujinga tu .yani makasiriko na msa loh .hatutaki lazimaaa😂😂😂😂😂.tavuruga viazi na bajia .mukikataa na viazi vyenu twaleta kutoka tz😂😂😂

  5. Wazowee msa tumekataa na pesa yetu .haki gani munataka atleast tumepata kuona gari kubwa vipi zinaingia .ww unataka kulipa school fees na wetu wabakie mazombi .makasiriko ya nini ?kwa nini munalazima na msa? Hii ina maanisha msa ndio inawapa pesa .uza kwenu meru .msa tumekataa muachane na msa yetu