Waandamanaji wajitokeza eneo la Aga Khan Walk kushinikiza waliotekwa nyara waachiliwe
Mashirika ya kutetea haki za binadamu , vijana pamoja na walioachiliwa baada ya kutekwa nyara, wameandaa maandamano Jumatatu hii ambayo walisema yatafanyika mitaani kote nchini na kwenye mitandao ya kijamii. Maandamano hayo yakilenga kuishinikiza serikali kuwaachilia waliotekwa nyara na kukomesha hulka hiyo ya kukiuka katiba. Wanahabari wetu…
source
Post Views: 6
hapo mpaka mmuondoe ruto maana anaendelea kudhihirisha udhaifu sana ktk nafasi yake.yaani ni hivi:ruto nyota ya urais hana,amepandikizwa tu na wazungu kwa maslahi yao,na siyo ya wakenya….msipoungana na kumng’oa atawaacha mnatembelea kucha shauri yenu
War doesn't solve anything if it's fought on the wrong Font..stop think act correct 😂😂😂 mpangilio ni yako si yangu..stop contradicting urself hata wenye washindagwi uliwapea vita ya kina Nani??? Stop think before acting to correct..ushajimaliza sometimes I wonder what your doing correct your mistake or get finished lakini yote ni vanity
Every action will be harmful to you and all good or bad polite or angry to win or loose vile utaamua..the bible says our smartness will destroy us..Ruto na church hukosagi..we are not on your way your on your way..nakutakia mema ndio ujue yanaweza geuka mabaya.instict is a lie told by a fearful body hoping to be wrong just nouns in unknowns but no unknowns in nouns
Kasongo must go
Place today your audio is so down work on audio
Why is Ruto butchering young Kenyans? This is Sad.
Bravo Genz😮
Ruto is a killer
President Ruto is there to stay he ll go no where
Same kenyans should advise their fellow kenyans to stop abusing the President
Rutoo must go saitaani
This government😮😢
ruto must go
Tunaka rais ajiuzulu …all of its system is dead, therefore huu uongozi is null and void!!!
Sasa kama polisi wanahusika na utekaji nyara wana faida gani kuwa na polisi kenya hapo kuna mtu anafikiria kumpigia kura ruto 2027
Kenya 🇰🇪 😢😢
One day it will be well😢
Police wa Kenya wajinga sana wanatumika na juzi tumeona wenzao wanatezeka wamevsliw matambara njaa tupu wameparara nkts
Tell Ruto arrest sisi wote sasa,,,,madamano kitui loading tomorrow
Congratulations genz hayo nimaamuzi mazuri
Pambaneni viongizi wa kiafrika ni tatizo hawataki kuguswa na waajiri wao
Polisi wa Kenya you can't help yourselves eeeh! Hata kama ni peaceful 😊
Ruto must goooo
Ruto MUST GO!!!
Stupidity wezi na wakora lazima wakufe wote
Lakini wanahabari ndie Wana haribu nchiyetu
Please clarify if there will be any state of the nation addres by however is occupying state house 😅😅
No matter how the media tries to spin, this protest is little and underwhelming. Why are people not mad enough?
.