Waandamanaji Emali Makueni wafunga barabara kuu ya Nairobi – Mombasa

Author Avatar

KTN News Kenya

Joined: Mar 2024
Spread the love


Waandamanaji Emali Makueni wafunga barabara kuu ya Nairobi – Mombasa


#KTNNews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews #genz

Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service…

source

Reviews

0 %

User Score

0 ratings
Rate This

Sharing

Leave your comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

31 Comments

  1. Sasa ndugu zetu Wakenya, kuandamana kwenu kunahusiana vipi na kuharibu mali za raia wenzenu wanyonge? Mnachoma moto magari ya watu yenye mali onboard, mnavunja vioo vya magari, mnaiba mali mbali mbali. Kweli hayo mnayofanya ni Rais Ruto na Serikali yake mnaopambana nao? Ndugu zangu kwanini msiteue wawakilishi wenu na kuomba nafasi ya mazungumzo na Rais au wawakilishi wa serikali yenu kwenye yale mnayoona yanahitaji kufanyiwa kazi na sio kuendelea kufanya vurugu zisizo na Msingi? Amani mlio nayo mnaiweka rehani. Waswahili wanasema" Mkilikoroga mjiandae kulinywa". Kutoka Tanzania.

  2. Kama ni maandamano acheni ikuwe ya amani si ya kuharibu vitu za watu wala kuchoma mtapata laana bila kujua na tena hakuna mtu anafurahia kuona mali yake ikichezewa mtaanza kuwa wendawazimu one by one

  3. Asanteeni sana watu ya Makweni for being united kuhusu maandamano Tafadhali sana Msichoke zote tuko pamoja na nyinyi May Almighty God accept the wish Gen z forces for Kenyans

  4. Vijana wakati mwingine tumiye hekima na busara aifai kuiba mali ya mtu ama kuchoma pili tambuweni mnae mchomea gari lake ni mzazi wa mtu kama wazazi wenu plz Plz plz nawa husiya kama mzazi

  5. Neno lamungu linanena kwa vijana watu hawaobi husatisi huvile wanawo hoba hiyo nivizimu vamaobi kwaho nawana jikosea kwa makosa yahukosefu tabia yakujiheshimu kwa kuheshimu wazee kati yaneno lamungu wamejilahani hawo wenyewa lori walijoma wisi mamatamano nimalaniwa zamalaana wanajikosea kwa makosa kwaho hawajijuwi watakuja kujuwa kwa musumamo laneno lamungu kusumama kwetu hulimwengu muzima hajili yatabia zetu hazifahi pele yamungu na pele yetu