Viongozi wa ODM wamempongeza Rais Ruto kwa kumuunga mkono Raila Odinga kwa uenyekiti wa AUC.

Spread the love


Viongozi wa ODM wamempongeza Rais Ruto kwa kumuunga mkono Raila Odinga kwa uenyekiti wa AUC.


Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

source

Reviews

0 %

User Score

0 ratings
Rate This

Sharing

Leave your comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

31 Comments

  1. Coast haina viongozi kabisa, ndio wabunge wakungumza kiswahili mbungeni.Magovernor wa Taita Taveta ,Tana River na Lamu ndio wasomi pekee wale wengine wote ni manamba tu

  2. Wakikuyu na kundi lake la wamunyoro likiongozwa na Gachagwa na mzee wa kuvaa surufia Kioni wamesherekea kushindwa kwa Baba Raila Odinga. Nasi waluo tunasema TAWE Gachagwa.

  3. Mimi sina imani tena na ODM ikiwa wataendelea kuunga mkono zakayo…. Mimi kura yangu zakayo hatapata na ikiwa zakayo ana urafiki wa kweli na na Baba zakayo astep down for Raila Odinga 2027 watu si wajinga na tusitanganywe na wale Wachache ambao wamepewa vyeo na zakayo kutoka ODM eti sasa zakayo ni msuri no wakenya haki mumerogwa na nyinyi ni Watu wa kusahau haraka sana.