Viongozi wa kidini waishambulia serikali kukosa kutilia maanani matakwa ya vijana

Author Avatar

KTN News Kenya

Joined: Mar 2024
Spread the love


Viongozi wa kidini waishambulia serikali kukosa kutilia maanani matakwa ya vijana


#KTNNews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews #genz

Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service…

source

Reviews

0 %

User Score

0 ratings
Rate This

Sharing

Leave your comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

11 Comments

  1. Viongozi wa kidini nchine Kenya ndo chanzo cha maovu nchini. Kwanza wameleta kitu kama vile laani nchini kwa kutumia makanisa kama centres za siasa ! Pili wachungaji kuliko kufundisha neno la Mungu wanajenga chuki makanisani kwa kufundisha siasa. Mwaumini kuliko kwenda nyumbani anejaa upendo wa Mungu ndani yake, anakwenda ba chuki za kisiasa. Tatu rushwa makanisani, bila haibu viongozi wa madini wanawakaribisha wanasiasa eti ni harambe kumbe ni rushwa ili wajuvutiye mioyo ya washirika. Lanne , makanisa amesimama kwenye misungi ya ukabila vikiongozwa na hao viongozi. Latanu, kuliko kua wapatanishi wasioegemea upande wowote, wanafundisha chuki dhidi ya vyama visivyo vya kwao. Lasita, viongozi hao kuliko kua religiously orientated, wamekua politicised. Lasaba, wachungaji wengi nimeskia wanatukana viozi na kutabili jinsi wanavyojisikia kiu
    wuonga ili kumleshusha kiongozi wasio kwenye vyama vyao. Lanane yile madhabahu ya human sacrifice ya Yakahola ambaye wanamadini wengine walishuriki haakuvunjwa kiroho. La mwisho , viongozi hao kuliko kuvundisha upendo, upatanisho na umoja ktk nyumba za Bwana, wanafundisha siasa, chuki na mafarakana ya kisiasa.TUBUNI NA KUKUMBUKA MLIPO HANGUKA NA KUMRUDIA MUNGU.