VIDEO:ZUCHU amwaga machozi baada ya DIAMOND kumuibukia stejini kuomba msamaha warudiane,mashabiki…

Author Avatar

Middle simba

Joined: Mar 2024
Spread the love

VIDEO:ZUCHU amwaga machozi baada ya DIAMOND kumuibukia stejini kuomba msamaha warudiane,mashabiki…


Please subscribe now on our YouTube channel to be the first to hear about latest news and updates on Time.

#middlesimba
#WeAreEverywhere
#diamondplatnumz

source

Reviews

0 %

User Score

0 ratings
Rate This

Sharing

Leave your comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

34 Comments

  1. Lazima show ita buma, kesho kutwa Ramadhani Zuhura na Naseeb kama naseeb au john maana mislaba kama yote, wanafanya mangoma na watu wanafanya maasi mtupuu! Kwa wao kuingiza hela eti fullmoon wakati masiku makubwa ya mwezi wa shaabani na huyo zuhura anajiita mzanzibar muislam. Aibuu laana

  2. Kama diamond anampenda kweli zuchu basi amuoe sababu kama magoti alimpigia zari mara ngapi na wakaachana Kwa hiyo huo ndio mtindo wake wakupiga matukio halafu anaomba anapiga magoti Ila nayo ukiwa kwenye ndio zuchu ndio utalizwa sana cha msingi kuwa makini sana na maamuzi yako usije ukaja kujuta baadae

  3. I was waiting for him to tell zuchu he will marry her but it all ended up saying contrary things..Anyways God knows the plans he has for them. Ope chib is not using her to make money a beg

  4. Hahahahaha 😂 dah. Tulishawajua walikuaa na maan gani hawa watu kuipoteza ngoma ya ibraah kulingana moment alifany sasa hapa kitu kimelipizwa tu hahaha 🤣 noma sna watu wanaelewa kumake treding 🎉

  5. Huyu jamaa kimuziki ameshaisha sasa hizi kiki ndio zinamfanya bado awe anasikilizwa mana kuna watu haya yanayo endelea mitandaoni huyu mond na zuchu kama kweli vile wameachana hizi ni kiki za kijinga tu mond muziki umemshinda