UTAPENDA ALIKIBA ALIVYOCHEZA KWAYA BAADA YA KUZINDUA KIPINDI CHA CROWN MEDIA
UTAPENDA ALIKIBA ALIVYOCHEZA KWAYA BAADA YA KUZINDUA KIPINDI CHA CROWN MEDIA
#bongo24 #alikiba #crown
source
Reviews
0 %
bro god bless you
Angekua mondi kipindi anazindua icho kipindi kunawatu waliongea oooh yeye nimwislam
Injili lazima uhibiriwe kwa kila kiumbe kazi kwa mtu kuikubali na kuipokea jinsi inatakiwa maana injili ni moto
Salute King Kiba
❤❤
Wengine wanamwita God, wengine Jar, wengine Ombee, wengine Allah, wengine kyara, wengine Mtwa, wengine mwami ila Mungu ni m1.
Nice
Ali kiba ukubwa wake nini? Kuliko watu wanavyofikiria!
Sasa mbona sijaona alipo cheza
Sio CEO ni Owner- President. Hamjui vyeo CEO ni Aidan
CHOIR
NEEMA GOSPEL
Wooow GOD BLESS YOU ALIKIBA AND CHOIR
Kiko wapi akifanya mondi kafiri maneno meeengi. Mbwaa Hawa
Hapo hakuna kwaya
Unakuwa na Baraka nyingi ishi sanaaaa Alikiba
Hii imechemuka🔥🔥
Hapo king anawaza angekuwa ashasema iye baba😂😂 ila salute kwako bro we ni mfano❤
❤❤
Mungu nimmoja❤❤
Amazing kabisa hatakam ukumbi ulikuw haukujaa
Iwe katik roho na kweli amen
Safiii
Ndugu zetu wa proud to be………uwanja ni wenu😂😂😂
Hao malaika watatu hapo mbele mungu awabariki na azidi kuwainua…❤
Safi kng🌹🎉
Only one king👑
Nani kagundua maji ya alikiba yamebadilishwa na mpambe
Ali kiba nimkubwa sana kuliko watu wanavyofikilia
Hili jamaa lililetwa na MUNGU
Alikiba