Ugonjwa wa Red Eyes waikumba familia nzima ya Rapper Rosa Ree
Ugonjwa wa Red Eyes waikumba familia nzima ya Rapper Rosa Ree
Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.upawatz.app&pli=1
source
Reviews
0 %
Très cool
Maji ya bahari ni tiba
Eeh nashukuru hadi now sijaumw a ila ofisini wote wameumwaa Mungu anisaidie nisiupate
tatizo awaogi 😂
Niliona tiktok tx dullah na chid talent na mtumishi nikaona labla ni comedi kumbe ni ugonjwa duuh pole Sana ❤🇨🇩🇨🇩
Huu ugonjwa ni mbaya sana
https://youtu.be/JC840H6TLj0?si=F32wMgQMd0ZoTEZ-
Niliumwa huo ugonjwa unahaksi mwanga ukikuiga mwanga unaisi kifo kabisa ata ujifunike blanketi isaidii nimeumwa mika mitatu uko nyuma😢
Hapa DRC Yani Kinshasa magonjwa hayo yanatutesa siku hizi.mwezi mzima Sasa
Iyo Kweli nami na wanangu tumeumwa 📍NYC 😢
Kwel utandawazi asaiv huu ugonjwa una trend kama mpya vile wakat niliumwa nikiwa na 12yrz mwaka 2012😂😂😂
Kwani huyu dem awesome kenya juu anangoa kisapere pia sheng
Kenya pia upo na sudan ,unakujaga every january
Upo hata huko comores
Mie nikajua ni mvumbi la barabarani
Kweli
Duuuuuuuh
kichwa sasa inauma mnooo yani nihatr