Uganda yatuma wanajeshi Sudan Kusini, katika Dira ya Dunia TV

Spread the love


Uganda yatuma wanajeshi Sudan Kusini, katika Dira ya Dunia TV


Mkuu wa Majeshi wa Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ametangaza kwamba kikosi maalum cha jeshi la taifa hilo kimetumwa katika mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba, ili kumsaidia Rais Salva Kiir ‘kulinda mji huo.’ Haya yanajiri kutokana na mvutano kati ya Salva Kiir na makamu wake wa kwanza Riek Machar, hali inayozua hofu kwamba huenda taifa…

source

Reviews

0 %

User Score

0 ratings
Rate This

Sharing