Tuko Tayari kwa Sherehe za Madaraka Day Tarehe Moja mwezi Juni 2024_Gavana wa Bungoma Ken Lusaka.
Tuko Tayari kwa Sherehe za Madaraka Day Tarehe Moja mwezi Juni 2024_Gavana wa Bungoma Ken Lusaka.
Alikuwa akizungumza katika Uwanja wa kihistoria wa Masinde Muliro eneo bunge la Kanduyi akiwa ameandamana na Katibu Katika Wizara ya Usalama wa ndani mwa nchi Dr Raymond Omollo na viongozi kadhaa.
source
Reviews
0 %