Tragedy as fighter bull kills Senator Khalwale's caretaker
Tragedy as fighter bull kills Senator Khalwale's caretaker
Tragedy as fighter bull kills Senator Khalwale’s caretaker.
source
Reviews
0 %
Ameishi na hiyo bull for how? Crocodile tears
Pole sana my senetar on what happened
Alah
Pole sana
Huyu mutu ni muongo anasinya sana…choreography at it's best
Umbwa
Somthing not adding up tuambie umemuua ju kuna kitu unaficha hapa
You killed an innocent bull
Pole sana
WAS IT THE FIRST TIME IN 20YEARS UYO MFANYIKAZI KUNYWA POMBE DIO BULL IMCHAPE FOR TAKING BEER TENA KUNUKA MOLASES MAKES NO SENSE DIO BULL IMCHAPE MAY BE ANGENUKA KITU BULL IJAZOEA NI SAWA SERIKALI INGILIE KATI PLIZ
After kuskia tu matako i had to laugh nikaroll hadi kwa floor😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Watu sio wajinga bana toka hapa senator muuaji
T
Why do you keep wild animals ??
Pole
Kwa matako
City mm…. Senator explain where city m came into your thoughts in a public,,… and incident happened in Kakamega county!
Wewe ndio uliua huyu mtu juu alikua anakukulia bibi
Umetoa kafara muachange kuongea uongo mashetani nyinyi 😭😭😭😭😭😭
Mtoto wacha vitina
The lady back there amekasirika sana
Was kwa matako necessarily?
Was "matanye"necessary to mention kweli that left me rolling on the floor
Hiyo bull haina huruma,hadi matako😢
Poleni sana, it is so painful , may his soul rest in peace, alikufa kifo cha unchungu sana, pole
kwa matako got me off guard😂😂😂😂
Sema ulimpeana sacrifice
USELESS CULTURE
Somw cows ata kama munajuana kama huna kiboko strong itakumaliza. Ni either uitwange adi itii ama ikunalize.
waluhya ni lini mtaacha izi vimila za UPUZI za kuwapoteza maisha 😲 I can't blv u pple mara bulfyt mara isukuti mara kutohara vjana msituni WHAT ARE THESE 😯 let's evolve and find the ryt path
KAKAMEGA OR WESTERN AS A WHOLE let's upgrade how we live 😮 these kind of I don't know bull fight isukuti are RITUALS u perform now someone is dead WHAT a stupid way 😢 God gave us animals to care for and use wisely THINK DEEP these customs are outdated💯💯
Police must investigate properly. Khalwale must be interviewed to rule out possible homicide.
Quite sad.
😢😢
Sheria inasema myama yeyote akiua binadamu, ?
Kwa matako!!! Buuuda you know more
😢😢 rest in peace
Matako was unnecessarily graphic
Huo ni ushenzi hyo buul awuliwe
Bull fighting is CRUEL and has been banned in many countries. Why is this stupid, cruel, primitive sport allowed in Kenya?
Uko kwa Boma pamoja naye kwani huwezi angalia mfanyikazi kabla alale ama hata hawakulagi
Inafaa kuuawa na izikwe na isikuliwe.
Police watafanya uchunguzi 😢RIP bull friend
😂😂😂Kwa matako
So sad indeed