TAZAMA ZUCHU NA NANDY WALIVYOTISHIA KUPIGANA, MABAUNSA WAWAONGOZA KWENYE MAGARI YAO
TAZAMA ZUCHU NA NANDY WALIVYOTISHIA KUPIGANA, MABAUNSA WAWAONGOZA KWENYE MAGARI YAO
Reviews
0 %
Napenda zuchu na nandy kuwa pamoja
Wow nice moment for her
Mnajiaibisha sana wewe mtangazaji…ukisikiya mtu kapoteza customer's wake bila kujua shida ni nini…ndio kama ujinga huu…waliopigana wako wapi…grow up mnaiabisha tanzania…ju ya kupost content isiyoambata na headline …yenye umeandika…siangali tena content zenu ata nitaambiya marafiki wote wasi follow ju ni upuzi🎉
Wanapendana sana…two powerful musicians
Toeni.colabo.basi
Kafungiwa Zenj kwan huku ni wap au ndo ruksa mituc
Nanyie waandashi wa habari mnakazi
Nandy hagombanag ww
Wimbo unaitwaje
Zuchu and Nandy yoyu look so beatiful i like it😅😅wanapendana hadi rahaaa
Yaaani queen Darin ni jaivaaa wa kike😂😂😂😂😂😂
Shame on you for upuuzi news. They were just playing with you stupid negative mindset. Do better.
oya vido haapa umepodoa hii content sio kak . kama nawakera semeni
Beautiful, love seeing them both, together #Senegal. Napenda Sana
Ayo tv imekuwa ya uongo nayo
Duuh hata siamin Kam nandy na zuch wak pamoja kutokana na maneno ya watu
YAAN ZUCHU NI BINTI AMESHABARIKIWA SANA ANA NYOTA ISIYOSHUSHWA KIRAHISI NDIO KWANZA INAPAA HADI KINA NANDI WANAJIPENDEKEZA KWAKE SASA. YAANI KAJIKALIA ZAKE KIMYA MPOLE MWENYEWE LAKINI KAITEKA SHUGHULI KAWAFUNIKA HADI WALIOANDAA MITANDAONI KAJAA ZUCHU TU😍😍😍😍😍😍😍😍,
Wanatumika ndio maana hawafiki kimataifa
Mtangazaji Ziro unprofessional kabisa😂😂
Wewemtangazaji KUMA kweli wapi walitishiana.
Zuchu ana mdomo km Waznz walivyo lkn km ni kupigana na Nandy, Zuchu anakalishwa
Mashabiki ndy wagombanishi waacheni jaman bado mabint waelewane tu wanaume zao mbona wanaelewana mi napenda hd raha kuwaangalia
Nilicho gundua baadhi ya wasanii hawana bifu ila watu ndo wanajalibu kuwagombanisha
Nandi ni🔥