TAZAMA AJALI MBAYA ARUSHA 🥺😞😭
TAZAMA AJALI MBAYA ARUSHA 🥺😞😭
Tafadhali usisahau KU_SUBSCRIBE na KU_COMMENT Kwenye Chanel Yetu Hii Na Mungu Atakubariki 🙏
BARIKIWA #harmonize #harmonize_tz #poshyqueen #lowassa #riplowassa #chademamedia #chadema #wapinzaniwayanga #wapinzaniwasimba #vyamavingi #lowassa #israel #israelmbonyi #ninasirinaweyesu #burundi #burunditourism #burundianmusic #burundi…
source
Reviews
0 %
Kubwa jinga
midume kwa kuchekacheka km mifala .siku hizi madume yanacheka hovyo hovyo …hv tukio hili la kucheka kweli?
Arusha ni nchi nyingine sio mkoa
Jaman hii Dunia hinaenda wapi
sijui kuna watu kule kwenye motoo au ni huyo dereva tuu mtihani wallahi mbona hata habari hawana watu
Yani badala mukoe watu mnashinda mkicheka
Jamaniii dah!!!
Arusha kumechacha kila siku matukio 😮😮
Sasa anacheka nini? Badala ya kuokoa
kila mmoja na akili zake
huyo anae wakejeli vuta babaake mzazi yumo ndani ya gari halafu anakutwa kafa unadhani atarudia maropoko hayo Tena???
Duu hii nchi balaa gani jmn,matukio kila wiki
Hili lijini mtu kina uzoefu wa kuua kama sio mchawi basi ni jambazi mtoa roho.hapo hakuna hata nguvu ya kuongea kama mtizama movie .mnacheka hatari ya kifo kwa wenzenu? Badala muokoe watu hata kutokea dirishani? Shetani kweli yuko ndani ya binadamu
Sjui kinachowachekesha ni nini,,wajinga