Shuhudia Wadudu walivyonogesha Mei Mosi Arusha, wawavunja mbavu watazamaji

Author Avatar

Mwananchi Digital

Joined: May 2024


Shuhudia Wadudu walivyonogesha Mei Mosi Arusha, wawavunja mbavu watazamaji


Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi yanayofanyika kitaifa jijini Arusha pamoja na mambo mengine, yamenogeshwa na kikundi cha vijana, maarufu kama wadudu kupita na kutoa salamu kwa mgeni rasmi.

Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango ni mgeni rasmi wa maadhimisho hayo.



source

Reviews

0 %

User Score

0 ratings
Rate This
0 0 votes
Article Rating
simple-ad

This is a demo advert, you can use simple text, HTML image or any Ad Service JavaScript code. If you're inserting HTML or JS code make sure editor is switched to 'Text' mode.

Subscribe
Notify of
guest
24 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
@bericcabanyari4815

Huu ni ujinga wa kiwango cha juu, kuna watu wanatakiwa kuwa promoted lakini wamekosa nafasi kisa wadudu wa kijinga, kweli jamani kwa namna hii tutafika?

@user-xb6mb1by5l

Duuuuh arusha kama sio Tanzania

@fortunatafelician5625

Watu wapo serious na kikotoo mnaleta wadudu 😙😙😙😙

@ArushaKarate

Kuna wadudu na kizaz Og mazee..

@user-lx6ep1dn5k

Arusha raha

@issamiyebo1046

Makonda the great miakili mingi

@deodatusmagagura6793

Hivi kweli wadudu ni watu wa kuwa promoted? Je vijana wa mikoa mingine wakibuni mambo ya ajabu ya aina hii kutakuwa na usalama?

@CarolKimei

Hiv mnawajua wadudu nyie

@isacksamuel5503

wadudu oyee

@husseinally6699

Yaani kweli hii nchi inapenda kukuza mambo yasio na tija hivi WADUDU ndio kama kauli mbiu ya MEI MOSI

@user-qz6gb8zi3c

Mei mosi ya wadudu hii nchi kazi kweli kweli

@teresiamgimba5498

Du,

@user-pz1xj9bg7u

😂😂😂😂😂 kazi kweli

@SilvesterApolo

😂😂😂😂chuga ni nchi ya kipekee sana😂😂😂

@user-ju2tp5dv6i

Yaan arusha hawaelew hata mbele ya nan wao ni wao tu , uhun mpaka mbele ya rais sjaona kitu Cha maana hapo

@elizabethismile6827

Makonda kazii anayoo😂😂😂😂😂

@josephmmbando2899

😂

@zaiboris9696

😂😂

@josephlorri431

Arachuga ni kama nchi,rais wake makonda

@janethnjau

🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

@hadijamshimbula7616

Washakuamaarufu

@OswardPeter-gr9oi

Akhiii wadudu

@MiriamAbdallah

Wanazingatia maokoto yao 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

@mishaelmethusela7809

Ila ARUSHA hahahaaaaaaa burudan sana😂😂😂