“Show ya Diamond ilikuwa na watu 32 tu” Chidi Benz 2

Spread the love


“Show ya Diamond ilikuwa na watu 32 tu” Chidi Benz 2


Chidi Benz anadai kuwa show ya Diamond Platnumz kwenye tamasha la Bite Vibes la Serengeti haikuwa na watu, walikuwa kama 32 tu.

Chidi Benz amefunguka kuwa Diamond Platnumz alitakiwa kujaza watu wengi zaidi kulingana na namba ambazo huwa anapost kwenye mitandao ya kijamii zikionesha kuwa muziki wake unafuatiliwa sana duniani.

Hata hivyo Chid…

source

Reviews

0 %

User Score

0 ratings
Rate This

Sharing