SHOCKING AUDIO FROM BABA TALISHA SHOWING BRIAN CHIRA WAS WITH PRINCE MWITI THE DAY HE DIED

Author Avatar

JACKSON 254TV

Joined: Apr 2024
Spread the love

SHOCKING AUDIO FROM BABA TALISHA SHOWING BRIAN CHIRA WAS WITH PRINCE MWITI THE DAY HE DIED

source

Reviews

0 %

User Score

0 ratings
Rate This

Sharing

Leave your comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

29 Comments

  1. Jackson Ata ww unatudanganya iyo video chira ako na black hair aki dead alikua na blown hair siutafute uongo ingine Ata we unatuchoza kwenda zako..if ni sure tuletee video vile alikua amevaa bila ivio uache Panganga za bangi

  2. Wachaneni na Baba Talisha kabisa.Sisi tunajua ni likes na comments mnatafuta.The other day ilikua kiptum.Sasa ni hii ya chira.Juzi one of you alikosa content akaanza kusema Miracle baby amekufa 😒😒Wacheni kutafuta content na jina za watu.Sasa kuna ile msiba fresh ya serikali,kimbieni huko,maDCI wa online😒😒

  3. Shida ya baba t ni moja yes alikuwa anasaidia familia hatukatai lkn unaeza amua kuchangishia mtu pesa unamzika haraka na hufwatilii story ya kifo chake ambapo umeambiwa alitupwa chini kutoka motar bike akagongwa then mwiti akatajwa eti walikuwa wote kitu ungefanya ungefwatilia from sim yake penye iko hadi kifo chake hadi clab alikuwa ungetafuta wale watoa ushahidi waongelee police ukweli ijulikane ndio uchange umzike lkn mlikimbilia kuchanga na kutupa mwenzenu tu hata kama hana wa kwao sii poa sasa usaidizi wako ni upi hapo kama ni kuchanga pesa si hata mtu mwingine angechanga?? ilikuwa tu lazima wewe???

  4. When you go were chira got accident why are you not take the picture of chira and a car on top of that even police are not there which means the two of you knows everything about chiras death baba t why are you harding things who's that first person to call you

  5. Baba T hata akipigiwa simu na huyo mwanamke awezi uluza ni nn ilimfanyikia yeye tu ni kufunikia kusema hata Kuna mwingine amenipigia simu ,,,, nani ameona baba t akipigiwa simu hata astuki aende jela direct

  6. Now listen to all those calls they dont make sense, ati sijui aligongwa jana sijui juzi,and he wasthe first to be called not even chiras grandparents received the news,now D.C.I.,should haddle this case,starting from the person who made the first call

  7. If I were Baba T's lawyer ningemuadvice anyamaze. There more he tries to save himself the worse he digs himself into a hole. Save the audios for your legal defense as last resort. If you know you are innocent stay quiet and avoid tiktok