Shinikizo la Rais Ruto kujiuzulu baada ya kukosa imani ya wananchi

Author Avatar

KTN News Kenya

Joined: Mar 2024
Spread the love


Shinikizo la Rais Ruto kujiuzulu baada ya kukosa imani ya wananchi


#KTNNews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews #genz

Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service…

source

Reviews

0 %

User Score

0 ratings
Rate This

Sharing

Leave your comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

42 Comments

  1. Kama Ruto ako na maskio, ajiuzulu mara moja aondoke kabisa wakenya wajipange. Hii serikali sio ya Ruto ni ya wakenya na wamechoka. Maandamano itaendelea hadi atoke. Huwezi kuua watu wote wa Kenya au kuwafunga.
    Uchaguzi wako hata haukua wa ukweli na ndio maana huwezi kua kiongozi. Kazi yako ni kuua watu, kubomolea watu manyumba, kuaribu biashara za watu kila mkenya analia kwa uchungu. Ujuzi wa kuua uko nao mukiwa na Moi mwalimu wako. Wakenya wamechoka.

  2. Neno lamungu linajihulisa kwa kuhulisa wanahichi ni nani munayo hitaji kumuhokosa halie mukamili kwa huvile munajiona ruto siyo mukamili munahitaji mukamilifu kutiokosa nasisi wote hamuna halie mukamili nizihasa kwetu bila neno lamungu tuwaje kulahumiana sisi wenyewe die tuna hitaji mafaa hatuna hutulifu naneno lamungu linanena mahali hamuna hutulifu wakujitulisa kwa neno lamungu kw a makelele kwamahokelesi tuhutumishi wamasiri namahuwifu namajiki die mafaa tujilahumu sisi wenyewe tuwaje kulahumiana hamuna mukamilifu hila mwenyezi mungu tumutafute hatuokose katika mahisha tuhatamane naneno lamungu die hikamilifu kwetu huwokoso wadunia hahuwesi kutusatia tunasibuka bure tukilahumiana kakuna wawesaye kujisati nahasatie wekine kwa huwokoso wakidunia tutafute mungu tuwaje matamano haitusatii ni hasara yamafaa halie nasikio hasikie nahalie kosa sikio hasikie nineno lamungu kwetu