Senetor Sakaja faults the national government over Huduma number registration

Author Avatar

Citizen TV Kenya

Joined: Mar 2024
Spread the love

Senetor Sakaja faults the national government over Huduma number registration


Sakaja sighted the Huduma number registration and confusion
saying that the government was acting in a manner that suggests it is at war with it`s people

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it…

source

Reviews

0 %

User Score

0 ratings
Rate This

Sharing

Leave your comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

22 Comments

  1. The problem with nchi yetu ya Kenya ni sisi wanainchi sio serikali wala politicians, ni wakenya wenyewe ndo walikubali na kuridhika kufanywa wajinga sana yani like illiterate people na hao wanasiasa. Yani Kenya venye ilikuwa inaheshimika na kusifika Africa na dunia nzima kwa kuwa na watu wasomi na wenye akili lakini now wamegeuka kufanywa watu wajinga sana na wanakubali tu kila mwaka kisha huku wanaketi wakilalamika. Vp wanasiasa wanawatesa na kuwasumbua tu hivo kisha na nyinyi munakubali tu kupelekwa kama makondo tu bila hata kufikiria kuwa nyinyi ndo munakubali wenyewe kuteswa na kuharibu nchi yenu wenyewe?? Yani ukitaka kujua wakenya kweli wamerogwa imagine hao viongozi wote wana scandals kila mahali ya uwizi wa mabillioni ya pesa na ukora mwingi lakini angalia bado wakenya wako nyuma yao wakiwa support eti sijui ruto for president, sijui hakuna kama baba raila, sijui nani sijui nani. Yani utasema Kama kwamba hakuna aliyeona mambo ambayo wanasiasa hao wamefanya mabaya. Scandals zote alizokuwa nazo ruto during last election ya uwizi na ukora ni mkenya gani ambaye hajui?? Na huyo baba aliyekuwa akiwaita kina Uhuru walevi na waizi na leo yuko anafanya kazi na wao tena mpaka juzi tu wameenda china kutaka tena mkopo wazidi kuwatia wa kenya kwa shida just cos ya maslahi yao binafsi, na bado wakenya hawajiulizi ni askari gani akashirikiana kufanya kazi na mwizi na jambazi wakati yeye askari kazi yake ni kuhakikisha wevi wameshikwa na kuwatia mbaroni. Aki wakenya jamani si wasomi, si walimu, si madaktari na watu wenye degrees na diplomas, lakini wote wanakubali tu kufanywa wajinga na wanasiasa, yani mpaka mashekhe na pastors viongozi wa dini wote wamewekwa kwa box na wanasiasa. Ni nani amesahau case ya iebc ya mauaji na uwizi yaliotokea just very recently in the past elections?? Na bado wanainchi wakenya utawaona wakikusanyika maelfu na mamillioni uwanjani wakiwaskiza hawa wanasiasa. Naongea haya yote sio kuwa mm ni mwanasiasa lakini ni kwa uchungu niliyonayo moyoni kwa kufikiria vile sisi wakenya tunaharibu nchi yetu na kuharibu future ya watoto wetu kabisa. Je munafikiria Kenya kesho itakuwaje kwa watoto wetu ama tunajifanyia mambo tu tukijifikiria sisi tu SAA hizi??? Hata nyinyi wanajeshi na mapolisi jamani kwani hamufikirii kuhusu future ya watoto na family zenu zitakuaje kesho ikiwa munakubali tu kiurahisi na nyinyi kutumiwa kuharibu na kupiga watu wakati wakijaribu kuongea ukweli? Sisi tushayaona maisha na twashukuru Mungu tumekuwa mpaka hapa penye tumefika lakini je bidii yote tunayofanyia watoto wetu SAA hizi munadhani itawasaidia kitu kesho na hali hii yenye tunaendelea nayo kwa nchi yetu wakati maisha tunazidi kufanyiwa magumu kila pahali yani hata chakula imekuwa hakinunuliki kwa RAIA wa kawaida. Wakenya hebu jiulizeni maswali jamani kabla ya kukubali kupelekwa tu na kulazimishwa vitu Kama hivo anavyosema seneta. Everything is not okay now in Kenya I swear.