Rose Muhando – Wanyamazishe (Official Music Video) SMS SKIZA 7634235 TO 811
Rose Muhando – Wanyamazishe (Official Music Video) SMS SKIZA 7634235 TO 811
Sio kazi yako kuwanyamazisha wale ambao wanakuwazia mabaya yupo Mungu atakae wanyamazisha we endelea kudumu katika maombi na kumngoja Bwana.
Studio : Jawabu Studios
Video Director : Hassan Mbangwa
Management
+255717003077
Email;malkiarosemuhando@gmail.com
#RoseMuhando#Wanyamazishe#NewVideo
source
Reviews
0 %
Nyimbo zake noma sana tafadhali.
❤❤❤❤❤
Kimya wasinione bwanaa, tuma malaika wote, every curse upom them🙏
Laana juu ya laana
Sorry sana 😢😢😢😢🎉❤
Sorry I know you have the pain
wp likes za rose muhando
I 😊 ❤the voice of this song
Nawakome.wenye.wifu.rose.utaedabari
Wanyamazishe watesi wangu mwaka huu 2024 ukawe wa mafanikio kwangu kimwili na kiroho
Wanyamazishwe kimyakimya
Long live Rose Muhando
Hinanibariki sana
Very powerful ❤
Naipenda,,,uwa ninatia nguvu
I like songs za rose muhando nambarikiwa nazo
amena amena jina la Yesu Kristo libarikiwe
Kabisa wanyamazishe
Really like this song
Ubarikiwe sana kwajinara yesu
🙏🙏🙏 wimbo mzuriiiii na unatufunzaaa mengiii ❤❤
Congratulations
Adui zangu mko wapi Mungu bado ananipigania
Mungu amewanyamaziza kapsa, sifa na utukufu kwake jehova❤
kama umepitia mateso kama hizi na mungu amekupigania wake like hapa😭😭😭😭
Ila Rose Muhando una sauti flani unique umeimba vizuri huu wimbo. Melody nzuri. Maneno pia mazuri. Ktk zaburi Daudi aliandika adui zake njia yao iwe utelezi malaika wa Bwana akiwafuatia
👍👍👍
💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗
Haep