RECAP: DIAMOND awafunika BURNA BOY, WIZKID kimataifa, POGBA ampongeza, ATIKISA UFARANSA
Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven’t yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
#entertainment #news #music #funny
source
Sahihi kabisa ukweri โคโค
Wewe uliwahi kuenda acha huko marekani ukashuhudia acha uwongo ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
Njoo kwanza apa uzungumuziye kuusu uzinduzi wa album ya 005 ya Jeshi ! ! !
Tanzania ghost singer
Fact man broh your the best
Lazim tupende vya kwetu
Lazim tupende vya kwetu
Huyo ni mwalimu bro, uhakik
You spoken well
simbaaaaa
Mimi naona harmonize aimbe taarabu anaiweza sana ashindane na akina Mzee Yusufu na akina asha mashauzi..anajua kutupa vijembe sana huyo kijana… International bado haiwezi bwana mdogo
simba ๐ฅ๐ฅ
Komaaav International song
Hii media sijawahi kupat matangazo ila kulaumu, na kumsifia mtu.
Diamond jitaidi umutafute Chris Brown
Hahahahahaha waache walked baba ila kwenye ukweli sema mwanangu
Nakubaliana na wewe broโค
Amapiano ni mziki mzuri kuliko bongo frava za sasa
Sema brw leo umeongeya from ๐ฒ๐ฟ๐ฒ๐ฟ๐ฒ๐ฟ๐ฒ๐ฟ๐ซ
Umetisha kaka
El mando uyo uzalendo wako ni mzuri sana ila unawapoteza watanzania Nigeria imeshaga maliza kimziki wasani waulaya ndo wanaombaga Collabo wa naija. Hapo unasema watanzania muendeleye kujipendekeza kwa wa naija ili mpate njia yakimataifa
Cheki msapotin tu diamond aende mbali wacheni kufurisha kichwa eti kawafunika na kina davido hpo baba mnawavunjia heshima hao jamaa tena hawapendi mbamba kma nyie wako zii mziki unaenda wenyewe muachen tu apambane tu jmn
Point โ๏ธ
Daaah hongera sana dogo Almando nakukubali from German big up keep it up we are all behind you jamba waking hawtikilewa
Promo needs a lot of money despite you have talent must put budget down
On my side Diamond is the first artist in the world, hata yule arbino wa marekani eti ni brown kwangu hafai alipo Diamond
Kweli kabisa
Bro umeongeya fact sana๐จ๐ฉ๐จ๐ฉ
unaongea ukweli kiongozi tulichelewa kupata watu wa ukweli Kama ww zaidi ya kupakana mafuta nakuwekeana chuki
๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ช๐ซก๐ซกDiamond 1 koma sava ๐
KING DIAMOND ๐๐๐ฅ๐ฅ
BONGO5 SIKUHIZI NAKUELEWA SANAAAAAAAAAAAAAโคโคโคโคโค๐๐๐๐ DIAMOND KWAKWELI NIMFANO WAKUIGWAAAAAโคโคโค๐๐
Apo kwenye kumshauli Daimond kuhusu kumshilikisha mmarekan safi nimependa El Mando ..asiwashilikishe tena wanaijeria awo mapopo achana nao mapopo awo wajinga…apo amuweke Cris brouwn au Rihanna drek au jay zee au Beyonce aachana na mapopo wasenge wale mapopo..wabinafsi Sana…piga dude ilo na mmarekan Ili iwe dude la mwaka iwe kama rema comedown..tena uwachezeshe na cristian Ronald na mesi wawe kwenye video apo utakuwa umetisha Sana kaka daimond
I agreeeeeeeeโคโคโคโคโค๐๐๐๐๐๐๐๐
Una hoja ya msingi sana, ila unafika mbali sana ๐
Kwamba tupo level moja na "Burna" daah
WAPI BAMBO?
Tumtag hapa diamond ili aje asikize usia huu wa kuifanya bongo fleva na komasava kuenda mbali zaidi @diamondplatnumz
Very true๐ฏtuambizeni ukweli alafu tumsukume zaidi afanye makubwa zaidi
Bongo 5 Thank you so much.DIAMOND PLATNUMZ IS OUR PRIDE.THE BIG 4 1.DIAMOND PLATNUMZ 2.BURNA BOY 3.WIZKID 4.DAVIDO. NICE ONE.
Pokea maua yako Mzee wa fact๐๐๐