RC MAKONDA NA WADUDU, WASANII WA ARUSHA WALA KIAPO KWA PAMOJA KUILINDA ARUSHA LEO

Author Avatar

kiswahili Tv

Joined: May 2024
Spread the love


RC MAKONDA NA WADUDU, WASANII WA ARUSHA WALA KIAPO KWA PAMOJA KUILINDA ARUSHA LEO


#fidovato #wadudu #waduduwarchuga #makonda #paulmakonda #chugacomedy #chugadance #makonda #paulmakonda #kizaziog #babalababa #kenyonyo #dipperrato #majanaba #markubamajanaba #waduduwarchuga #makonda #kenyonyo #kizaziog #chugacomedy #chugadance #chuga #arusha #makonda #pdiddy #fidovato #target #chidbenz #fidovato #fido #krg #krgthedon…

source

Reviews

0 %

User Score

0 ratings
Rate This

Sharing

Leave your comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

27 Comments

  1. Safi Sana Poul Mwakonda Kwa kuwa unganisha Wasanii Wa Arusha. Mungu akupe Nguvu zaidi Uulinde Mkoa Wa Arusha dhidi ya Vitendo vya Uhalifu ambavyo huwa vinafanywa na Wale Wachache wanaotambulika Kwa Jina la Tatu Mzuka!

  2. Kumbukeni kaka yenu ni mkali sana ataki masiala kwenye kazi zake mkimfata mtanufaika na nehema lkn mkimzigua atawazigua fateni na mpendeni chuga itaenda kubadilika kwa muda mchache kilicho shindikana kitawezekana kwa kipindi kichache uwo ni mji mkubwa sana anawazo kubwa kwenye ninavyo tazama.. mm mwenyewe namkubali sana