Ramsey Nouah alivyofanya ibada kwenye kaburi la Kanumba

Author Avatar

Bongo5

Joined: Apr 2024
Spread the love


Ramsey Nouah alivyofanya ibada kwenye kaburi la Kanumba


Muigizaji kutoka nchini, Nigeria Ramsey Nouh ambaye alifanya movie moja itwayo ‘King Of Devil’ na marehemu Steven Kanumba, ametua nchini Tanzania wiki hii kwaajili ya kukutana na wasanii wa Bongo Movies ambapo siku ya leo alipata nafasi na kunywa chai na mama Kanumba na baadaye kwenda makaburini kwaajili na ibada.

source

Reviews

0 %

User Score

0 ratings
Rate This

Sharing

Leave your comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

24 Comments