Rais Ruto awambia madaktari wanaogoma hakuna pesa zaidi ya kuwaongeza

Author Avatar

Citizen TV Kenya

Joined: Mar 2024
Spread the love

Rais Ruto awambia madaktari wanaogoma hakuna pesa zaidi ya kuwaongeza


Rais William Ruto sasa amewaambia madaktari kuwa hakuna pesa zaidi watakazopata zaidi ya zile walizopewa na serikali. Rais anasema matakwa ya madaktari hayawezi kuafikiwa kwa sasa, akisema mzigo wa matumizi ya serikali kwa sasa ni mzito. Msimamo wa Rais ukijiri huku madaktari nao wakishikilia kuwa matakwa yanasalia yalivyo na wataendelea kugoma.

source

Reviews

0 %

User Score

0 ratings
Rate This

Sharing

Leave your comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

25 Comments

  1. This month pia waalimu wanaingia hapo hapo 😂😂😂 we have money for state house repairs,3 million for buying umbrellas,money to go campaign and jus going on top roof of high end vehicles, money to manufacture fake fertilizers hahhaa.
    We love kenya eeehe hahhaa

  2. Uyu ndio kiongozi wa taifa aliechaguliwa na maskini kumbe alikua na agenda zake. Leo hii maskini wanataabika kupata matibabu hadi kufariki. Ruto hana ubinadamu kabisa na kila uchao husimama mbele ya madhabahu kujifanya mzuri.

  3. We have supplementary budges for your wives,,,increased allocation to your offices but to doctors you say we have no money…cant u even employ them permanently instead of contracts

  4. Living within our means is good &ideally, the right thing to do but that concept must be mirrored across the government. This administration is currently immersed in massive plundering, superfluity corruption, & splendor. We cannot talk of living within means only when Kenyans make injunctions to their rights or when it comes to hustlers' welfare. first deal with government officials who are saturated in aggressive,& shameless shows of nouveau riche profanity & ostentations of newly arrived dynasties in the country.

  5. I am supporting Ruto for the first time..on this..Most doctors currently on govt. payroll hardly report for work for weeks.. they have failed to supervise nurses who terrorise the sick at will everywhere..Docs must lead by example or forget respect (only expect fear)..Why do you earn from government while 90% you are @your own/private hospital.. This is daylight murder by medics..
    I also went through a 6yr.course in campus..So the issues of long spells of education is irrelevant.. Medicine should not be for people who aspire to be Rich.. Remember the hypocritical oath upon graduation..