Rais Ruto asema maamuzi yake magumu yamezaa matunda
Rais Ruto asema maamuzi yake magumu yamezaa matunda
Rais William Ruto sasa anasema kuwa uchumi wa Kenya umeanza kuimarika kutokana na maamuzi magumu aliyofanya alipotwaa uongozi, japo yalipingwa na kukosolewa na wengi. Rais akionekena kuangazia hatua zilizopigwa kuimarisha shilingi dhidi ya dola, pamoja na kupunguwa kwa bei za mafuta na unga. Na kama Ben Kirui anavyoarifu, rais amesema kuwa…
source
Reviews
0 %
euro bond inaisha June, dollar itakuwa 160 tena
Kalonzo tosha
Reverse psychology…bullshit
Hao doctors watosheke na kile wanalipwa Wawache maandamano watudi hospitali coz they will get nothing
Ruto afikir wakenya wapumbavu km. Yy mahosptali hazina madaktar wewe uko hapo kupiga mdomo nguruwe hii
Elections is around the conner🤯😂😬😂😂
Doctor analipwa pesa mingi Sana 70k wacha rais ashugulikie ata watu wa chini sasa wale wanapata 10k private company
You forgot you said you have nothing to do with fuel prices why are u talking about it 😂😂😂
I told many that in 2 years time things will greatly change to good.
Imeza mtunda wapi mnatudanya eti mafuta imeshuka baada ya mwezi itapandax4
Inapanda Na 70 nakushuka 10 bob
Wizi umekithiri kwa Government, passport mtu alkuwa akisubir kwa mwez, same cood conduct. Xai watu waliaply since last Yr na hawajapa5a passport wala good conduct, mvua ilnyesha ndio watu wakalima sio fertiliser yako fake na isitoshe wajat uliopita kulkuwa na kiangaz kwa mda mrefu bila kunysha takriban 3ys yrs
Dont blow your own trumpet…eeesish
Napenda Ruto.. my president.. from CANADA
Ruto is doing good job
Unga ya ksh 100😂😂,this man don’t care about the wellbeing of Kenyans ,he is so selfish😢
Rais umejaribu sana.Congratulations
This hypocrite will never be forgiven. The turmoil you have caused us , u will never be forgiven.
I feeling like throwing 😢😢
STOP THE STEALING???This man is too Corrupted…
Sauti imeanza kugwara kama moi, Dictator himself
Alitaka tu housing levy ipite hio ndo ameng'@ng@nia nothing else
Con
Keep it up Mr president
Ruto shujaa
People are having more accidents and your not talking about that people are dying in hospital your not talking about that😢
For more videos 😢😢😢
I disagree
My president ❤️
Na Euro bond? tunyamazie maneno ya dollar.
What is he saying?????
Kumbe ni kuanguka sio kushuka? Dollar imeshuka lakini bado vitu viko juu. LIPA MADAKTARI . UNACHEZA NA UHAI WA WAKENYA WEWE. MAFUTA NA UNGA SIO DAWA NA MATIBABU .
Good luck Hon Dr President Ruto be blessed.
Ruto collected enough,two years of hard economy
Madeni tupu😂😂😂
Imeanza nyumnani kwake ,ruto utapaka wajinga mafuta , wasiwasi ni wanini juu umeona kalonzo next ,hata ushukishe hadi 10 Bob , hakuna MTU anakutaka kenya
Hii ni Kenya tukitaka tutaipata by force anyway thanks mr prezo
Doctors kuwa kwa street ndio matunda?
Pay Doctors buana… stop betting with people's life.
People are dying in hospitals yet you are rejoicing! What a fool