Police block Ruto's Mumias fundraisers over virus, security threats
Police block Ruto's Mumias fundraisers over virus, security threats
http://www.nation.co.ke
Mr. Christopher Wesonga, the Shianda Police Station OCS, said police denied event organizers a permit based on measures taken to contain the Covid-19 pandemic. Police also cited security threats.
MPs Benjamin Washiali (Mumias East) and Justus Murunga (Matungu) confirmed receiving notices from police about the…
source
Reviews
0 %
This is a demo advert, you can use simple text, HTML image or any Ad Service JavaScript code. If you're inserting HTML or JS code make sure editor is switched to 'Text' mode.
Round hii mtausoma number,
We lack leadership, our prezo what came over him after the handshake,
Wakristo siku hizi wanataka pesa hawabudu mungu muumbaji wetu
Are you poor is Ruto poor shame on you
Don't say we , you just talk about you
Makasiriko kwa church and you want us ibelieve you're genuine?
Mm ni mluhya bt kura kwa ruto hkuna kwani alikuwa wapi hiyo miaka yote ndio sahizi anataka kutoa mchango kanisani aty the poor anakuja na chopper luhya tumechanuka tunataka waluhya wetu si ruto peleka ujiga Eldoret not western
Sasa ndio umeona Kwamba Masikini wamenyanyaswa mbona ukua unasema hapo hawali Mzee jua ujagusi wakeja sio mwanainji anajagua na hiyo tunajua hivo Ruto tutampigia kura but ni Kazi bure tu juu ule mtindo waritumia wakajukua uongizi vile vile ndio utatumika Raira kupewa uingosi
Ruto analipia zile mathabi alifanyia NASA kuwaosha na teargas
Devil on the seat. Kenyans should pray real God. Baba is ONLY ONE in Heaven
Mr president uhuru,,since handshake March 2018..it was the day you started walking away from jehovah God unknowingly…you asked for forgiveness,,stop joking with God's people even if you are their president..
This officers would be more useful aling Kenyan boundaries to stop Allshabab attacking our people .
Who exactly advise our president coz I feel he mislead him always
Presidents men please respect our dp
Ukweli.mzee..waching.from.Gulf.coutry…niko.na.uchungu.juu.hiyo.kanisa.ni.ya.kwetu..but.2022..presd..ni..Ruto..hata..wakifunga..makanisa..mungu..hawachi..mwenye..haki..tuko.na.Ruto..mpaka..mwisho..wa..2022..akisha..kaliya.hicho.kiti
I’ve never seen any politician who is poor. Please use another narrative
Who've noticed that this police and curtailing freedom is more to western region
Uhuru asifanye upumbavu wa kumuachia nchi huyo mloo wa madalaka
Ruto ni mchocheze tuu sio mwema kimaadili
Fata sheria acha maneno ya siasa ww unaalika wanasiasa kwa minajiri gani, muongo ww
Acha kudanganya wakenya ww unajua maana ya masikini
Asante a brave Kenyan
Kyagulanyi Robert ssentamu for president 2021. Here in Uganda……
Mukaa jini watoto wetu wamefungua shule munataka watoto wetu wapate Corona we have a bank account use that don't sambaza Corona ruto kaa jini
Wacheni kuleta siasa makanisani plz God is holy!! Fanyeni siasa zenu bila jina la mungu
Tz tuache uwoga
Father apeane pay bill number wajenge parish
your're stupid if you count yourself among the poor. idiot. a whole mheshimiwa.
Weka pesa/contribution kwenye account ya kanisa na muache hii takataka ya kelele
Umeongea Kama mtu amekula ugali asubuhi.
Tafadhali wachungaji tusiruhusu siasa makanisani maana tunachafua kanisa la Mungu kwa mfano wa Harambee! Si lazima muite wanasiasa kuwachangia na fedha za chukizo,kanisa lina watu wengi wanaoweza kujenga. Mnaleta uovu wenu kanisani badala ya utakatifu. Msilete ghadhabu ya Mungu kwa Nchi yetu,hii biashara yenu,Yesu amekasirika,maana mmesahau mwito wenu na kuacha Imani ya kanisa LA kwanza,kanisa lote Kenya lazima tutubu maana tumevaamiwa na mbwa mwitu ambaye ni mpenda pesa,tumekosa kuridhika na kile Mungu ametupa! Uovu unaendelea na mmenyamaza,hamuongei wala hamuonyi! Kwa nini mnafanya hivi? Kwa nini mmeacha njia ya kweli na kupenda pesa? Kwa nini mmekuwa bubu wakati Nchi inaharibika? Kwa nini mnachafua madhabahu ya Mungu? Hii mnayofanya mtalipia na mtaulizwa,ufalme wetu si wa Duniani bali in wa juu lakini tunaonekana tukipenda ufalme wa Dunia kuliko wa mbinguni. Basi acheni kuwa wachungaji kanisani kama hamtaki kuheshimu nyumba ya Mungu. Rais wa Nchi anawakilisha Mungu,na hufai kumnyoshea kidole! Ama mnasoma maandiko lakini hamwelewi ! Mungu pekee ndiye aliye na mamlaka ya kushughulika naye,lakini wewe ni kutii mamlaka. Kenya hii ni ya Mungu,na Mungu ndiye huinua na kushusha viongozi,kwa hivyo acheni kiburi,nyenyekea. Asante!
duuu
Kanisa zimekua nyingi than watu,, go slow gentlemen
Hizi fundraising zimezidi,, go slow,, why now,, fundraising here fundraising there,, ai too much
You are right brother but now its the dynasties .teach them a lesson anf let them face the dust
Mtoto wako ana wheelbarrow !
Huelewi wewe mzee, wewe sio police ! Nana anakutaka wapi ? C uende kwake ? Tuambie ulipigia jubilee kura ? Kibaraka hii. Peana pesa kwa bahasha kanisani. Uhuru ataamua ngoja tu !
God intervine in this country ,Raila alikuwa fundraising.
Raila sio rika lenu yeye ni baba
Huyu rais alikuwa anaomba mshamaha jana ya nini kama haya bado yaendelea????