'Nilihofia familia yangu'


'Nilihofia familia yangu'


Bingwa wa Olimpiki Eliud Kipchoge anasema alihofia maisha ya familia yake wakati wa kampeni ya unyanyasaji mtandaoni dhidi yake iliyomuhusisha kimakosa na kifo cha mwanariadha mwenzake wa Kenya wa mbio za marathon Kelvin Kiptum.

Kiptum,aliyekuwa na umri wa miaka 24, alivunja rekodi ya dunia ya Kipchoge ya marathon mjini Chicago Oktoba mwaka…

source

Leave your comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

3 Comments