News : Isaack Hassan:tuko tayari kwa uchaguzi

Spread the love

News : Isaack Hassan:tuko tayari kwa uchaguzi


Tume huru ya mipaka na uchaguzi imesema kuwa iko tayari kufanya uchaguzi kwa raundi ya pili iwapo mmoja wa wagombezi wa urais hatashinda kwa asilimia 51 katika raundi ya kwanza. Mwenyekiti wa iebc isaack hassan amesema kuwa tayari bunge limepitisha bajeti ya shilingi bilioni 6 na itatosha kwa shughuli hiyo. Na kama anavyotuarifu mwanahabari…

source

Reviews

0 %

User Score

0 ratings
Rate This

Sharing