Nduati – Yesu Ndiye Serikali (Official Visualiser)
For a child is born to us,
a son is given to us.
The government will rest on his shoulders. (Isaiah 9:6)
Jesus is the King of the…
source
For a child is born to us,
a son is given to us.
The government will rest on his shoulders. (Isaiah 9:6)
Jesus is the King of the…
source
Lyrics (Nimejaribu ku-decipher tu so let me know if I need to make any corrections)
Haya
Achana na kina Trump, Yesu ndiye serikali
Damu yake ina nguvu kushinda zote kemikali
Msalaba si ya kubeba kwenye shingo kama medali
Ni ya kuweka kwa mgongo ukienda Kalvari
Unadie to self unalive to God
Ndiyo uwalk on water lazima uleave the boat
Kuokoka ni rahisi kukiri of course Yesu ni bwana but kumbuka anahate divorce ku-cling on
Hakuna ku-look back ee ka vile Mugabe alifanya Zimbabwe
Lazima wajue, huyu Yesu ndiye Yahweh
Penda hallelujah kuliko ma boom aye!
Hakuna ku-look back ee (Hakuna ku-look back ee)
Hakuna ku-look back ee
Lazima wajue, huyu yesu ndiye Yahweh
Penda hallelujah kuliko ma boom aye!
Yesu ndiye serikali (x2)
Saluti!
Yesu ndiye serikali (x2)
Saluti!
Yesu ndiye serikali (x2)
Saluti!
Yesu ndiye serikali (x2)
The name of the Lord buda is a strongtower
The righteous run to it na wako so sawa
Maombi ni refreshing kuliko cold shower
Yesu ni m-reliable kuliko Mo Salah
Yesu akirudi anarudi ka simba
Serikali zote zianguke ka timber
Watakaomwamini watakuwa wakiimba
Wengine wakitakaangukiwa na mlima
It's a revival, it's a revival
Understanding is very vital
Tuko hapa pigania ma-title na kile ina matter buda we ni disciple
Ka disciple
Hakuna ku-look back ee
Hakuna ku-look back ee
Lazima wajue, huyu Yesu ndiye Yahweh
Penda hallelujah kuliko ma boom aye!
Yesu ndiye serikali (x2)
Saluti!
Yesu ndiye serikali (x2)
Saluti!
Yesu ndiye serikali (x2)
Saluti!
Yesu ndiye serikali (x2)
Yesu ndiye serikali (x2)
Saluti!
Yesu ndiye serikali (x2)
Saluti!
Yesu ndiye serikali (x2)
Saluti!
Yesu ndiye serikali (x2)
Saluti!
Noma sana bro
Lyric video please!!
The lyrics🔥🔥
Awesome stuff
Maombi ni refreshing kuliko cold shower 😂😂😂
Amazing track Nduati. You are an inspiration to today's youth. God bless
I was when he said "Tuko hapa tunapigania matitle na kenye inamatter ni kama we ni disciple" for me🔥🔥🔥
message deep. Salute
amazing track bro…
Eh Nduati….💯💯💯💯💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Yaaaassss 🙌🙌🔥🔥 pure vibess!! Barsss 🥳🥳 penda Hallelujah kuliko ma Boom AYe!!!
Matata sana 🔥
Go nduati 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🙌🙌🙌🙌👏👏👏👏
Hakuna kulook back! Yesu ndiye serikali!!
Dope
0:30 "Ndyo uWalk on Water lazima uLeave 'The Boat' ". 👌🔥 This is Deep Son! Natafakari Still. 🤔🤔
Deep Deep! Strong Honourable
Wooooowwwww. I love it. Anapenda Hallelujah kuliko bumaye
I love it. Please post lyrics. Kali sana
kiongozi 🔥🔥🔥
Issa revival issa revival 🔥🔥🔥
Yesu ndio serikali 🙏🙏
Penda halleluyah kuliko maboomaye 😅😅
Unadie to self unalive to God 🔥🔥🔥
Hiyo track pekee 🔥🔥🔥
Fye 💯🔥🔥🔥
Beat ✅
Lyrics – 'msalaba sio ya kuvaa kwa shingo kama medali, ni ya kubeba kwa mgongo ukielekea Calvary' ✅
Nomaaaaa 🔥🔥🔥 aki Nduati 🤭
Noma 💯
Awesome 💪
Mkuu wa Majeshi
Kali saana man….✊✊✊
Nice
Well done! Yesu ndiye serikali! #Serikalimpya Isaiah 9:6-7
Amazing