
Naibu IG Masengeli awaomba wakenya kusherehekea mwaka mpya na wasiojiweza
Naibu IG Masengeli awaomba wakenya kusherehekea mwaka mpya na wasiojiweza
Naibu inspekta jenerali wa polisi Gilbert Masengeli, amewaomba wakenya kusherehekea na kushiriki mwaka mpya pamoja na wasiojiweza katika jamii na pia kuwa na matumaini ya kuwa mwaka ujao utakuwa bora kwa nchi.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates,…
source
Interesting news update NTV but this story has a lot missing.
Is this man serious? Like we are going to start liking him.