
MZEE WA NYUMBA 🫢💔KUMI ASEMA KWA SHARON WA SAUDI KUNA UCHAWI MINGIðŸ˜
MZEE WA NYUMBA 🫢💔KUMI ASEMA KWA SHARON WA SAUDI KUNA UCHAWI MINGIðŸ˜
#breakingnews #comedy #diana #love #news #loyaltytestkenya ##levynetv #truektv #MakingCouplesSwitchPhones #LoyaltyTestKenya #loyaltyTest #CouplesLoyaltyTest
#truektv
#BrightonTheePLLoyaltyTest #JohncenaSilverLoyaltyTestKenya #CouplesloyaltyTestKenya #LoyaltyTestKenya #MakingCouplesSwitchPhones #ComradesFlavour#ComradesFlavour#ComradesFlavour…
source
Aky siku mungu atalipa hawa watu hawaesi kumbuka hii vitu wanafanyia huyu mwanaume wanamuita kilema na si kupenda kwake ata iende ikawa ni wao wamemuroga ,mungu si binadamu 😢😢
Huo ni uchagei
Mm sioni kama hawa watu ni wakenya vijana wanaoa wamama wazee tena wachafu sasa hii nn
Mbona huyu mama wa kofia amekua kimbelemble sana simuoni vizuri
Wavulani wa hii area wako aje, yaani wanaoa wanyanya,sasa oneni bwana ya Sharon, mke wake,hata make anakaa msichana kumliko
Sasa kiwete sio kupenda KWAKE,ata unaweza toka na ukongwe na gari MIGUU ikatike, mungu saidia huyu kijana
Akuje mzee koko
Awa watu wako Kenya gani🙆🙆🙆
Uchawi unapikiwa huku
Mzee aje atuchapie hawa wa mama wachawi
Jamani hii nyo ni uchawi kabisa inafanya poma imechakaa na umaskini
Kwani yeye alichukua mke wawatu bila kupitia kwako kwanini