MPAKA HOME ,ALIPOKUWA ANAKUJA DIAMOND KUFUATA SARAH,”NENDA KAMWAMBIE ,NDIO HAP
MPAKA HOME ,ALIPOKUWA ANAKUJA DIAMOND KUFUATA SARAH,”NENDA KAMWAMBIE ,NDIO HAP
#bongo24 #diamondplatnumz #diamondplatnumz
source
Reviews
0 %
Diamond chukua chombo hicho Ni wife material Safi,Ni mke waujana wako❤ lovely sana
Huyu dada nimetokea kumpenda ni mkimya and mtulivu kwa majibu
Diamond alianza kumtaja sara kitambo sana
Wow huyo ndio Sarah
Huyu ni mzuri kushinda zuchu. Ana kiuno, ni mashalah guu we. Huyu akiwekwa ndani ni mzuri
Mmbaya
Hyu ndio Sara kwani???
Sarah keshakua bibi
@zuchu chukua hii wanawake waliowahi kupendwa na diamond kutoka moyoni na c kws kumvuta na madawa wanamuita Nasibu😅😅😅
Wanawake waliyo mfa diamond ni 2 tu, huyu apa Sarah na zarina Hassan tu.
I love you Sarah!Napenda ustaarabu wako,upole na ukarimu wako.kwa kwel uko tofauti kabisa na wanawake zake diamond wote alio tembea nao.ww ni mwanamke mwenye stara.
Waandishi wa miaka hii ni mtihani wallah, though ayo ni maisha ya zamani ila mnavyofanya sasa waandishi nyie doh
Ki ukweli dada uko vizuri ingawa cjui kiwango Cha elimu ,unajiamini,uwezo mkubwa wa kujieleza hivo.big up sana.
Hunahekima sana unamajivuno
Sarah miwani mikubwa
"Wife material"
Sarah hata ugekuwa mkumbwa inawahusu Nini, ukiritiba utaisha lini,washamba
JAMANI MAGOMENI , YAANI BARABARA ZOTE ZIMECHIMBIKA NA ZIMEKWISHA. WANAWAKE TANZANIA TUNAZEESHWA NA POMBE. TUPUNGUZE ULEVI JAMANI.
shamsha huyu ndugu yako Nini…mnafanana sana
ila wabongo ni washamba ss kwan kua na dmnd ndio nn ss yani hatupumui ni Sara Sara mmmmh mtuache bwana
Hw watangazaji wengine wana pupa sn kiasi kwamva mada nzr wanaitibua kwa masuali ya ajabuajabu
Kama mzito kujieleza
❤
Wanao taka kumjua rafiki yake mondi makitonto tujuane kwa like hapa
Yaaaani huyu Dada hata hatumii nguvu nyingi…very simple elegant classy gal
Next sacrifice in FM
Zuchu mzuri huyu Sarah ana jipua kubwa kama la Baba levo
Mond kashapita hapo dada jitafute na wengine
Pua na midomo ya Sarah ndo ilomvutia Simba.
Jamani kila mtu zuchu zuchu mbona mnamsema zuchu vibaya kwanini Kuna kitu yy zuchu kaongea kibaya Kwa huyu Sara mbona watu wanafiki mumemuona Sara juzi tu mshaabza kumchukia zuchu kumtoa kasoro siku zote zuchu mnamsifu zuchu kumuona Sara tu mnamkandia zuchu mnakosea jamani msifieni mtu yy km yy msimkandie mwengine asie na ubaya na huyo Sara mana zuchu hajaongea kitu Kwa huyo mm nampenda nae Sara na zuchu pia na Sara zuchu wanafanana ht maongezi yao wana hekima ya mazungumzo yao
Ila kufanana na kwin darl
Mondi siku ukija kuoa kabisa kwa ndoa muoe Sara mzuri mno jamani
Dada anajua kuongea sana bigup sarah
Sara anakitu mwilini sana
Shkamoo pub marahaba hahahaha
Na nyie wana habari jaribu kuendelea na mambo mengine hayo yameshapita na kazi iendelee
Mrudiyane❤
Yaani huyu nimemfuatilia intavyu zake zote hamjui diamond anamjua Nasibu tu, wadandiaji wengine walikuta tayari alishabadilika kuwa diamond
Sara anapendwa jomoniii❤comment zote hapa ni MASHA ALLAH 🎉
Ila huyu Dada mkono yake mikubwa sana
Ahsante sana mtangazaji…una iq kubwa unatamani tujue kitu
Mapenzi au nyimbo tu anasafiiria jina lako? Huoni unaishi maisha magumu hata hufanani na supastaa umefanywa msukule wa diamond wewe..kuwa mkweli shetani hasifiwi.
Zuchu tembea na mabegi yako mwaya' Sara wa Mond Tushamwelewa sisi' kiporooo chake swafiii
❤❤Sarah nimekupenda bure yaàn
Zuchu anatakiwa kujua mchango w Sarah ndo maana Nassibu sasa hivi ndio Diamond ambae nae amempenda akiwa diamond Kwa hiyo zuchu aache ubinafsi. Sara ameshiriki kumould Nassibu Kwa hiyo arudishe mabeg yake tu labda kingine
😂😂😂 Huyu dada anajua kuongea vizuri kwakweli.
Kwahiyo habari ya mjini ni Sarah hakuna tena Zuchu haya sara inabidi uwemzima na ukapimwe ijulikane ugonjwa ujulikane utibiwe tuone na wewe utaishia kubeba mabegi au utamega kisela yetu masikio na macho