MOSE IYOBO KAFUNGUKA UHUSIANO WAKE NA RUBY “TUKO PAMOJA MUDA MREFU, PENZI JIPYA, NIMESAHAU YA NYUMA”

Author Avatar

Millard Ayo

Joined: Mar 2024
Spread the love

MOSE IYOBO KAFUNGUKA UHUSIANO WAKE NA RUBY “TUKO PAMOJA MUDA MREFU, PENZI JIPYA, NIMESAHAU YA NYUMA”


Ni baada ya Headlines za mtandaoni kudai Dancer wa Diamond Platnumz, Mose Iyobo kutoka kimapenzi na msanii Ruby  sasa  leo ameamua kuyaweka wazi mbele ya waandishi ya habari.

“Kwenye upande wangu mimi na Ruby tuendelee tu kuwa na subira hii ni mwaka wa pili na dhumuni letu kwenye birthday yangu ndio niweke wazi, nimejuana nae muda tu sema…

source

Reviews

0 %

User Score

0 ratings
Rate This

Sharing

Leave your comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

12 Comments

  1. Ujinga wa mbongo uko kwenye ubongo wake mwenyewe , unaitwa ubongo zuzu, jomba kupata mafanikio kidogo tu. anafikiria kuongeza watoto , ndio maana Tanzania kila kukicha ni kujenga vyumba vya madarasa na vyoo maana watu wanazaa kama panya. Yaani laana tupu Tz ni kupandana tu, ukimwi, wizi, ukatili na kuzaliana kama panya na ukiuliza mtz ni bora kwenye Kitu gani Labda kucheza singeli na starehe na kuchepuka.