
Mombasa: Afisa wa IEBC ashambuliwa na kuuawa nyumbani kwake
Mombasa: Afisa wa IEBC ashambuliwa na kuuawa nyumbani kwake
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
source
Reviews
0 %
Inalilah tanzania asikari wetu leo hao wengewatia mkononi tupo vizuri tanzania tunawapelelezi wenye utaalamu mungu atustry
Ujinga ni raia wamejazwa itikadi kuwa Serekali ndio kama Mungu wao hata wamekuwa wanakatibia kuiabudu Serakali 😢
Lazima Jamii ziangaziwe kujihami na kujiamini kila kitu munababaikia Serekali ndio iwasaidie hata kama ndio inayowaangamiza! nkt
Hakuna mwizi hapo hio ni deal ya gover mimi kama jambazi sugu vitu za IEBC napeleka wapi sure zitanisaidia nini gover inajuwa chenye wamepanga wenyewe
This is not Rutos serikali walifanya hivyo hawa ni akina laila na akina uhuru ndio wako nyuma ya hizi vitendo they juz want to drag Ruto down 🤬👹👿poleni sana Familie ya huyo mama to the son lwish him quick recovery 🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤❤💪👍🇰🇪🇩🇪💐💐💐
Waislamu jiupisheni na Democracy ni ukafiri huo
Ni ya lini hii ?
SUBHANA ALLAH unamuuwa mwenzako kama wewe utaishi milele polen sana ndungu jamaa na marafiki
Inalilah waina ilei lajiu
😭😭😭😭tobaa yanafsitubi 😭😭😭💔💔💔💔💔💔💔
Pole kwa kumpoteza mama inauma sana,apumzike kwa aman.
Innalillah wa innalillah lajiun😢😢😢
Majanga haya. Poleni sana ndugu zetu. Mbona sielewi sielewi haya?. Wanadamu wanasikia raha gani kuua Watu?. Damu izi zinazo mwaga juu Nchi aziwacha salama. Amen.
Jee nyumba ya ofisa haina kamera?
"Innalillahi wainnailaih rajiuun"
Yaani wezi wa kenya niwaajabu kweli njaa mbaya wanau mtu kwa kuiba tv?
Hakuna kujificha siku ikifika. Innah Lilah wainna ilah rwajuhun
Innalillahi wainna ilayhi rajiun,wamekudhulumu uhai wk huku ukiona,Poleni familia wana mombasa,Rabbi awahukumu hapa hapa Duniani wote walioshiriki hili,Aamin !.
wanauliana wao wenyewe
Inna lillah wainna ilayhi rajiuun
Na wewe husna mnafiki mmoja huko Tanzania ni wauwaji mchana kweupe watekaji wamechukuliwa na kuuwawa hebu sita kuandika uwongo
Njooni TANZANIA mjifunze somo la AMANI
Mbona Tz.hawachelewi kushikwa
Inalilaahi wainilahi Rajiun😭😭😭😭
Poor government wanajua siwauwe watu wote
Simu na tv inawafanya wauwe?
inna lillahi wanna ilayhi rajiun 😭
Dalili za 2027
So sad 😢.. From abductions to killing an afisa of iebc.. Now i understand/connect the dots of Why the late iebc mkubwa alikatwa kidole cha biometric na kuuliwa na kutupwa kama umbwa na gari lake kupatikana kasarani.. We all remember that, right? Whoever said politics is a dirty game hakukosea walai.. But all in all God bless the fallen souls of our beloveds n console the families of the berieved & those moaning.
Hii ni silikali ilitumana
Allah ya rahma
Same people killing, same person investigating
Hii kenya Apana…..UDA tangatanga nation..
From abductions to killing 😢😢😢😢😢
2027 ,,,wanajua mlima hatutaki kasongo wameiba document ndio waseme kilifi iko na kura nyingi sana kenya mzima
Hizi ni jama za ruto trust me hataki 2027 watu wapige kura
Pole kaka lkni wewe n mjinga umeshindwa kupambana na hao watu
Mikona ya IEBC??? That's where we draw the line…… there's more to this
Eeee mungu fariji family, fariji watoto wake kwa uchungu uwo
The wave of evil sweeping across the country is unfathomable and it's clearly being perpetrated by the government converting Kenya into a Lawless state.
Inna Lillahi Waina Ilayh Raji'un.