Mjenzi afariki baada ya lifti kuanguka kutoka ghorofa ya 18 hadi nne ghorofani huko Mombasa
Citizen TV Kenya
0SubscribersMjenzi afariki baada ya lifti kuanguka kutoka ghorofa ya 18 hadi nne ghorofani huko Mombasa
Mtu mmoja amefariki huku mwingine akiuguza majeraha baada ya lifti waliyokuwa wakitengeneza kuanguka kutoka ghorofa ya 18 hadi nne na kumbana mmoja wao hadi kufa.
source
Reviews
0 %
User Score
0 ratingsRate This
Sharing
45 Related Posts