Mhubiri Ezekiel Odero afikishwa kizimbani kwa madai ya kuhusika na mauaji ya Shakahola
Mhubiri Ezekiel Odero afikishwa kizimbani kwa madai ya kuhusika na mauaji ya Shakahola
@KTNKENYA #trending
#Kenya’s No. 1 24/7 Breaking News channel
FOR THE LATEST NEWS OF THE DAY INCLUDING MAANDAMANO MONDAY, AZIMIO DEMONSTRATIONS, POLITICAL ACTIVITIES OF THE DAY, INVESTIGATIONS, DOCUMENTARIES, AND IMPORTANT HUMAN INTEREST STORIES IN KENYA AND AROUND THE WORLD. KEEP IT KTN NEWS. VISIT OUR WEBSITE www.standardmedia.co.ke for more,
source
Reviews
0 %
Udhaifu kudai kuwa kuwepo kwa dunia kunatokana au kunategemea roho
Uaminifu
Kutetea kwamba dunia njinsi ilivyo yenyewe ni maada na kwamba kila kilichopo kinazaka kutokana na mwene do wamaada yenyewe na kwamba kitu chote kilichopo huzuka na kukua kufutana na sheria za msukumo wa maada.
Ezekiel hajawai ita watu kwenye kanisa lake, Kila mtu anakwenda kwa Imani yake, iweje Leo mumuhukumu kwa sababu za kisiasa? Ache ujinga huo. Mungu atabaki kua Mungu. Muachilieni mtumishi Wa Mungu
Acheni kuonea watumishi wa Mungu, kama Ezekiel Hana kosa.
Muachieni mnamione Mtumishi Wa MUNGU, kama Kenya mmemchoka tuleteeni Tanzania. Hana kosa Ezekiel
Release the man of God caseya wahubiri,inakuanga na Mungu, sisi tunataka justice for jeff.pastor Ezekie awachiliwe l aende akahubiri
Waaibishe mahadui bwana
Mulinde umtoe kwa hali hii yesu
Pasta mungu unae muomba ako nawe sisi Wana wako wa unatulea kiroho tuko nyuma yako sawa na Wana Azimio nyuma yake raila 😭😭🛐 mungu tenda emeni 🙏🙏
God will be with you forever amen you will be the winner pastor ezekiel
Hii pia itapita😢🎉
Mungu akitaka kukuinua lazima majaribu ikuwe.aHaya yote mungu alikuwa anajua Pastor don't worry God for you
Pastor wetu mungu huko nawe omari wetu atashinda kwa imani
God is watching you guys,wachilieni mtumishi wa Mungu afanye kazi yake plz🙏
You can never fight God,he must win the battle ,he has never lost any battle.
May God our defender defend byou pastor.Your preachings are genuine in deed
PST yatafika mwisho tu ,ni mtihani ili kufukiswa daraja kwenda lingine
Wameona mahali ya Ezekiel ndio wanatka mungu ako
God is with u pastor Ezekiel
God be with my pastor
TWO THINGS ARE HAPPENING HERE, (1)EITHER PASTOR EZEKIEL IS A TRUE MAN OF GOD WHO IS GIVING EVIL RITUALISTS AND WITCHES SLEEPLESS NIGHTS, AND NOW THEY HAVE GOT A CHANCE TO IMPLICATE HIM WITH MAKENZIE WHOSE EVIL IS EVIDENT, BESIDES WHEN IT COMES TO DEAHS, SOME PEOPLE BRING PEOPLE WHO ARE AT THE VERGE OF DEATH TO THE CRUSADES AND CHURCH, AND SOME OF THEM DIE EVEN BEFORE THEY GET TO SEE HIM. (2) I DON'T LIKE JUDGING WHAT I DON'T KNOW, BUT IF HE IS GUILTY GOD WILL NOT DEFEND HIM, (3) BUT IF THIS IS THE EVIL HANDWORK OF THE DEVIL TO MAKE SURE THAT PASTOR EZEKIEL IS NOT DOING GOD'S WORK, THEN GOD WILL VINDICATE HIM AND EVERYONE WHO IS IMPLICATING HIM WRONGLY WILL BE JUDGED TOO BY GOD HIMSELF… COZ AT THE END OF EVERYTHING, GOD KNOWS THE TRUTH
He is inoccent. The truth will arrive.
Man of God, you have done Soo many to this country, may God fight your battle
Don't wory man of God, God is on your side , your God is on the throne
Mungu atawachapa nyinyi
Mungu akutie nguvu pastor Ezekiel hayo ni majaribu, yatapita tu, even mtumishi Daniel, Stephano, Shedrack Abednego na wengine walipitia kipindi kigumu, tunakupenda sana you are really man of God yatapita tu
We are praying for you pastor Ezekiel, through you Jesus is still saving many people
High time judgement start in alta, Don't you really Know Prophet Elijah is on land Kenyan be watchful.
Mungu yuko pamonja nawe amen
May God protect you and fight for all your enemies those who want to destroy you God will destroy them together with there families generation to generation
you have changed many people, but if are found to have a hand in the deaths, you will be prosecuted
Not laughing matters
This is not a laughing matter.
Kama amehusika kwa njia yoyote he will have to carry his own cross…but kama ni jambo la kisiasa Mungu tetea mtumishi wako.
hata yesu pia alipitia dhuluma.
Ezekiel cannot be involved in such..his services are live in TV…he prays for people to live,be healed,get educated and enjoy life not to die…in his church the sick go or brief prayers and they go back ..he does not kill people..we know he said that the mortuary near his church should be closed because mortuaries are in hospitals and people should live ..This is what is haunting him ..All lies against him will backfire ..We are on our knees to scatter all satanic plans against true servants of God.A sin of a thug claiming to be a pastor cannot be painted on all other preachers
Mungu uonae sirini jidhihirishe kwa mtumishi wako Eziekiel
🇹🇿 mti wenye matunda hauachi kupigwa mawe "
Oooh God have marcy to pastor Ezekiel I now utajihirithisa Mungu mtete
Hamuezi mkafunga kanisa la bwana na mchunge sana mtu mwenye mna chezea nyinyi
Hata petro alifungwa lakini hawakufunga injilo ya yesu bado injili itaendelea na pst bado atalihubiri neno la mungu na wengine bado tutajipuka mbaka vizazi vyetu vyite