MASHABIKI WA SIMBA WATOA POVU PENATI YA YANGA “TUKO TAYARI KUCHANGA KULETA MAREFA KUTOKA NJE”
MASHABIKI WA SIMBA WATOA POVU PENATI YA YANGA “TUKO TAYARI KUCHANGA KULETA MAREFA KUTOKA NJE”
Click to rate this post!
[Total: 0 Average: 0]
Post Views: 1
I Like ThisUnlike
0
Please Login to Vote
I Dislike ThisUn-Dislike
0
Please Login to Vote
Kweli simba ni mbwambwaziro mbona kagere alivutwa na Kevin yondani nje ya 18 lakini timu zilitoka 2-2 hamkutoa povu la sabuni ya magadi
Hawa ndio mashabiki wa simba midomo mingi uwezo sifuri, hao kilasiku wanaonewa wao kilasiku.
😄😄😄 😜🤪 sijawasikia mkilalamika penalty zidi ya kagera mlishangilia sana vp ya yondan vs kagere acheni kujifanya mnajua
Mtachangia mikundu yenu timu iliwashinda mkampa muhindi
Mwaka huu simpa mtaishia kunywa juice za mo
Waliplan tufungwe,ila Mungu kawaambua,na kama walikula mlungura aliyewapa amepotezaaa,hawajabebekaaa
Marefa ni mazafanta kabisa
Kweli kabisa aisee
Tanzania hakuna haki nikupambana tuu mpaka tumetowa sare siombaya lakini kwa haki haipo hapa
Kwel