Mama Kelly responds to accusations of being toxic, sleeping with her son in law | Tuko TV

Author Avatar

Tuko / Tuco - Kenya

Joined: Mar 2024
Spread the love

Mama Kelly responds to accusations of being toxic, sleeping with her son in law | Tuko TV


After a lady, Kelly, raised accusations against her mother, the mother is here to set the records straight.
For business inquiries you can reach us at marketing@tuko.co.ke

⚡️ Join TUKO Membership and get extra content and gifts:
https://www.youtube.com/channel/UCl6ICaB9meBcSMQ5Zmr446g/join
❗️ Help us share more untold stories! Support…

source

Reviews

0 %

User Score

0 ratings
Rate This

Sharing

Leave your comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

50 Comments

  1. Subhanaallah Kelly rudi nyuma msichana ukiona kama mama yako hakuweza tizama watoto wako iko siku uta regreat katika hao watoto wako watakuja kuku fanya kaunavyo fanya mama yako hii dunia tunapita tu hakuna kama mama

  2. This woman is toxic just like her daughter says for sure, her first born daughter Kelly is the age of my first born son and this woman will regret her irresponsibility and dictatorship. She is not a wise woman

  3. Having been around toxic mom, I know how they can defend themselves na huwa hawakubali kushindwa… Kellys experience is true and real. The bitter truth is they are still our mothers… But I choose to stand with Kelly.. Toxic moms are something else.Huyu mama ni mwongo, ni yule atakuambia machungu ukose amani

  4. Mjinga yule msichana . Toka lini nazi ikashindana na jiwe ? Kumkashifu mamaake hata km ana shida siwakae nyumbani siwasawazishe tofauti zao ? Kujitafutia laana tu . Hata mlevi Mungu anamsikia .

  5. Lakini mama Kelly mbona unaweka bwana ya mtoto wako karibu Kama Kelly hapendi mbona usiwache!,na pia naona siblings wa Kelly ni wale hata Kama mama anakosa hawana guts za kumwaambia na Kelly ndiye anaweza ongea because hata Kelly vile aliongea yuko sawa na siblings wake !!!! But uyu mama yuko na bidiii at least ya kujituma saudi! Na Kelly watoto wako ni majukumu yako mambo ya kukaza mamako atoke kazi ndio akuchungie watoto ulikosea, na mama Kelly Kama daughter wako amekosana na bwana yake wewe Una shindia kumtumia pesa kama Nani !!!!! , na mama Kelly shamba ulibuiywa na waschana wako ifanaa ujenge sio Kuanza kudekezea kijana wako nayo afanye kazi Kama anataka yake ….. waschana wametia bidii pia, yeye ni mwanaume atie bidii anunue!!!!!!!!!

  6. I wish my mother could be alive 😢😢n way kelly if actually kuna chumvi umeongezea , jua God is watching hautaenda mbali humble muongee . Mtoto atii mzazi na mzazi asichokoze mtoto . So kelly alikosana na mama mume na watu wote wa kulea watoto??? Just asking hakupata mmoja mzuri?

  7. Ok…the mum might be toxic but Kelly's also delusional and she got narcissistic tendency, Kelly should have let things to cool down before bringing them to social media, a parent will always be a parent no matter what they do to you..That's the truth.

  8. Kìng'ori hujaona kitu na hujasikia kitu post number yako kuna watu wengi hujua story ya hao watu but mtu haezi jitokeza 😅 maybe utapata ukweli ya kila kitu dio uelezee watu nini umepata fanya uchunguzi kiviako