
Majaji wakataa kujiondo kwenye kesi ya kumuondoa naibu rais Rigathi Gachagua ofisini
Citizen TV Kenya
0Subscribers
Majaji wakataa kujiondo kwenye kesi ya kumuondoa naibu rais Rigathi Gachagua ofisini
Jopo la majaji watatu wa mahakama kuu wanatoa uamuzi kuhusu kujiondoa kwenye kesi ya kutimuliwa kwa rigathi gachagua baada ya baadhi ya mawakili kutilia shaka miegemeo yao. Mawakili wa Gachagua wakishikilia kuwa majaji Eric Ogola, Anthony Mrima na Freda Mugambi wajiondoe kwenye kesi wakidai hawatatoa haki kutokana na uhusiano wao wa karibu na…
source
Reviews
0 %
User Score
0 ratingsRate This
Sharing
Tags
45 Related Posts